Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Kweli. Hakuna mwenye nafuuSi komwe si kispika wote hao awajielewi waimba taarabu tu
Huyu nae...hana muda mrefu asipochunga mdomo wake..." Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"
Ally kamwe via TBC FM
View attachment 2601562
Mnataka kumloga!?Huyu nae...hana muda mrefu asipochunga mdomo wake...
Ndio..Mnataka kumloga!?
AahaaaaaaaahImpossible....labda ashinde njaa
🤔🤔🤔🤔🤔Ndio..
Hee wale wale tu leo si komwe kazingua kesho baada ya mechi simba wameshinda utamskia kispika nae anazingua na shombo zake so wanapokelezana tuKweli. Hakuna mwenye nafuu
Naelewa changamsha genge tu mdah mwingine usipoelewa unaweza ukachukulia serious kauli zao ukashangaa sana wote wanaitangaza tanzania why waombeane mabaya[emoji23][emoji23] ndio mpira wetu
Sawa sawa" Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"
Ally kamwe via TBC FM
View attachment 2601562
Muda utajibu..Kivp