Ndiyo maana mamipira yenu hamfiki popote ishu kama hizo wenzenu wanasaidiana nyie ndiyo mnamalizana watu wakifungua threads humu kusema hii ngozi ina matatizo mnakuwa wakali.
Kwamba dua anayoiombea itarudi kwake pia..Kwamba kolo atashinda???
Kabisa. Wanyooshwe tu hakuna namna.Aahhaaaaaaa
Mkuuu wanyooshwe
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
ni kiazi lakiniAna professional yake lkn
Sawa.....Kihesabu Yanga washavuka Tyr
Atatafutiwa kesi yoyote na Tifutifu ya Alshabab Carrier afungiwe.Kivp
Mr kispika .....hujawahi kumsikia??Saivi Huyu kawa msemaji wa Simba. Añaisema Zaidi Simba kuliko timu yake
Yani yeye ni muda wote anafanya ujinga huu.Amekuwa msemaji mpumbavu kuliko wote waliowahi pita Yanga.
Itakuwa ni shoga huyu mtoto