Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Huyu dogo akiwa anasembwenda dhidi ya madunduka huwanaki kucheka tu.Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno.
Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
View attachment 3132621
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno.
Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
View attachment 3132621
Hivi ameolewa?Sema kijamaa kina mdomo Sana