Ali Kamwe: Tutabeba makombe, Kila mwanachama awe na lake

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Klabu kubwa kama TP Mazembe imesafiri kutoka DR Congo kuja hapa Jangwani kujifunza kwa kichwa chetu, Rais wetu Eng. Hersi Said halafu kuna watu wako nyumba ya 16 tu jirani hapo, wanapiga kelele kuwa hawana cha kujifunza kwa Yanga.

“Niwaambie tu, tutabeba Makombe hadi kila Mwanachama atakuwa anabeba la kuweka nyumbani kwake,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.
#WasafiSports

NB: Nadhani Makolo mmesikia... Kama mlitegemea kuja kubeba kombe Tena .....mwafwa in magu voice
 
Anaongea kama kakatika kichwa .Bichwa kubwaaaa kama mkubwa wa siafu.Arsnooo bingwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…