Ali kamwe: Uwanja wa Chamazi viti vilikuwa vidogo kama vya watoto wa Primary

Basi wajenge uwanja wao wenye viti kama vya Santiago Bernabeu. Unakuwa na mdomo mrefu kusema vya wenzako, wakati wewe mwenyewe huna hata A wala B. Hii ni aina mojawapo ya upunguani.
 
Ndio shida ya kusaidia mtu akikuchoka anaanza kukuponda... hapa kaonyesha ujumbe kwamba usimsaidie mtu hata kama ana shida gani.. mi sioni kn kulikua na ulazima wa kusema hvyo ikiwa wao wenyewe hawana uwanja na hawakulazimishwa kwenda chamazi. akili zipo matakoni huyu kijana
 
Sisi kama simba tunasema watahamia
AMAANI STADIUM
Tupo hapa
 
Maisha Yana kesho, Kuna maisha baada ya mpira...bongo siku moja tu ukiwa nje ya mfumo basi Kila tawi linakukataa.
 
Sasa hivi ndo ataons utamu wa kazi ya usemaji wakati timu inatembelea rim.unawatuliza vipi mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…