So do iHongera yake, niliwaambiwa timu kiba kipindi kile cha "vote for Davido" hamna haja yakumfanyia hivyo Diamond kwasababu miaka kadhaa ijayo kiba pia atapata nominations kama hizi kama ataendelea kukaza na kufanya kazi nzuri.
Okay time is now, niwatakie upigaji mwema wa kura, binafsi I won't bother [emoji4].
hahahahaaa.... KARMA..... What goes around...Hongera yake, niliwaambiwa timu kiba kipindi kile cha "vote for Davido" hamna haja yakumfanyia hivyo Diamond kwasababu miaka kadhaa ijayo kiba pia atapata nominations kama hizi kama ataendelea kukaza na kufanya kazi nzuri.
Okay time is now, niwatakie upigaji mwema wa kura, binafsi I won't bother [emoji4].
UNAYEMPONDA YEYE KACHUKUA TUZO ZOTE 2, BEST AFRICAN ACT NA AKAINGIA KIPENGERE CHA PILI CHA WORLD WIDE NA AKACHUKUA SASA WEWE UNAMPONDA AMBAYE TAYARI ANAZO HIZO TUZO,WAKATI HUYO UNAYEMSHABIKIA NDIO KWANZA ANATAKA KURA YAKO, WE UKO SAWA KICHWANI KWELI ..........???Wapi yule jini mwenye roho mbaya kabisa ambaye huwa anatekenyeka kila akiguswa na salome.
Yoooooooooh kingkiba papleeen mchiz wa gheto
Goes forever [emoji4] hahahaha, habari yako binafsi.hahahahaaa.... KARMA..... What goes around...
Me either....S
So do i
Wengine hatujui hayam mambo, kwa hiyo hapo ndio anakuwa ameingia hatua ya mtoano, nusu fainali au fainali!?Mshindi wa hatua hii ya kwanza ataenda kuwakilisha moja kwa moja kuwakilisha kwenye mtv worldwide act.
poa sanaa.... Watuombe radhi....Goes forever [emoji4] hahahaha, habari yako binafsi.
Hahhahah ngoja waje......S
So do i
Huku ndo kupunguziana kuraWapi yule jini mwenye roho mbaya kabisa ambaye huwa anatekenyeka kila akiguswa na salome.
Yoooooooooh kingkiba papleeen mchiz wa gheto