Ali Kiba achaguliwa kuwania tuzo za Mtv Ema

Hongera zake Tanzanian music inaenda across the border kama last year tulitoa award winner bas na mwaka huu tutumie same effort na ikiwezekana tuziongeze ili turudishe tena hyo tunzo Nyumbani.
 
Tunawatakia upigaji kura mwema at least sie hatutafanya vote 4wizkid bt we won't bother
 
Wengine hatujui hayam mambo, kwa hiyo hapo ndio anakuwa ameingia hatua ya mtoano, nusu fainali au fainali!?
Akipata hapo (BEST AFRICAN ACT) anaenda kwenye kipengere cha pili ambacho anashindanishwa na yule wa Best Indian act,ambayo inaitwa world wide. AMBAZO KWA MWAKA JANA ALIZIPATA DIAMOND.
 
Baada ya hizi tuzo Kuna kitu watu timu KIBA, timu WEMA na JOKETI watakuwa wamejifunza, kwani usimuombee mabaya mwenzio hujui mbele unakutana na nn sometime msaada wake unaweza ukakunyanyua, cha msingi tupige kura hajalishi upo upande gani.
 
Safi sana kuwa nominated tu inatosha sana hata asiposhinda, maana tulilazimishwa kuwa Mondi ndie pekee anaweza kutoboa kimataifa, big upa Kiba Mungu akujalilie kila lililo jeama.
Wewe sio mfuatiliaji wa muziki si bongo wala Africa, maana ungekuwa UNAJUA KUWA OMMY DIMPOZ AU VANESSA MDEE WAMEKUWA NOMINIIZI MARA NYINGI SANA ZAIDI YA HUYO KIBA,LAKINI DIMPOZ HUYO HAPO HANA LOLOTE. LAKINI TOFAUTI YAO WAO NA DIAMOND NI KUZICHUKUA HIZO TUZO MARA KWA MARA.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…