Ali Kiba afungua baishara ya kuuza Cap Nairobi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Ali Kiba anaye amezindua biashara ya kuuza kofia aina ya Cap huko Nairobi Kenya, gavana wa Mombasa Hassan Joho ameonekana akizipigia promokwa kuzivaa

Ali Kiba pia ameibuka kididea kwenye tuzo za watu maarufu waliopo kwenye sekta ya burudani

 
Diamond atasubiri sana mwaka huu.
 
Palipo na ali k lazima muhusishe diamond p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…