Ali Kiba ahojiwa BBC kwenye kipindi cha 'Focus on Africa'

thubutuuuu yenu hv nyie mna uwezo gani wa kupiga colabo na KING OF R&B R.KELLY? nyie sampuli zenu ni kina davido, fally ipupa, juma nature,msaga sumu, KIBA SAME LEVO NA R.KELLY
Mbali na akili,nazani kuna kitu mbadala kinakuongoza ktk maisha yko!
 
Wakati anaimba hiyo single na R,kelly nilikuwa sijawaza hata kuowa, sasa nina watoto 3 mtoto wangu wa kwanza darasa la 2 hajawahi hata kusikia hiyo single,
Hizo sifa za kizamani sana aliimba na R,kelly tunataka hivi sasa anafanya nini?
Labda sasa aseme balozi wa wanyama pori Hapo sawa lakini sio music tena hana lolote
 
thubutuuuu yenu hv nyie mna uwezo gani wa kupiga colabo na KING OF R&B R.KELLY? nyie sampuli zenu ni kina davido, fally ipupa, juma nature,msaga sumu, KIBA SAME LEVO NA R.KELLY
Wewe bado sana kwenye masuala ya muziki na inaonyesha umeanza juzi kumfuatilia kiba na muziki wake lakini mambo ya muziki kwa ujumla huyajui,swali je unafahamu kuwa wakati wa yeye kuimba na akina R.kelly ilikuwa ni kuhusu nini na unajua ilijumuhisha wasanii wangapi au unafurahishwa na kuhojiwa na bbc kama haijawahi kutokea kwa wasanii wa bongo, mbona DIAMOND keshafanya na CNN tena mahojiano yamefanyika nyumbani kwake kumbuka anakopita kiba DIAMOND ALISHAPITA ZAIDI YAKE.
 
Asante Sana umempa fact na picha juu
 
wewe ndio hujui kabisa, hivi kitu kuitwa colabo inatakiwa kuwa na watu wangapi? maana usikute hujui maana ya colabo, mahojihano ya mond na CNN yalifanyika na waandishi uchwara tu
 
thubutuuuu yenu hv nyie mna uwezo gani wa kupiga colabo na KING OF R&B R.KELLY? nyie sampuli zenu ni kina davido, fally ipupa, juma nature,msaga sumu, KIBA SAME LEVO NA R.KELLY

R Kelly mwenyewe kashamsahau huyo K wenu ishapita miaka mingapi mpaka sasa?
 
wewe ndio hujui kabisa, hivi kitu kuitwa colabo inatakiwa kuwa na watu wangapi? maana usikute hujui maana ya colabo, mahojihano ya mond na CNN yalifanyika na waandishi uchwara tu
Sasa mimi na wewe nani hajui kitu huo mradi ulisimamiwa na airtel na ndio iliyowakusanya wasanii na wao ndio waliopendekeza wa kina nani wawepo ( kumbuka kipindi hicho DIAMOND bado hayupo wala ommy dimpoz hata Vanessa kwa sasa asingeipata hiyo bahati aliyoishindwa kuitumia vizuri)
unaona tangazo la airtel hilo ulikuwa ni mradi wao sio kwamba R.kelly kamtafuta kiba au kiba kamtafuta R.kelly na nadhani unaliona hilo kundi la wasanii lilivyokuwa kubwa.
 
Hata mim nlikuwa I was amazing Kiba kwenda kwa R.K inawedhekana vyupi.Kumbe yatosha kifurushi walipendkedha!OMG!!
 
Hata mim nlikuwa I was amazing Kiba kwenda kwa R.K inawedhekana vyupi.Kumbe yatosha kifurushi walipendkedha!OMG!!
Huu mradi ulikuwa wa airtel na ndio waligharamia kwa kila kitu na hakuna msanii aliyemchagua nani awepo ila airtel ndio waliowachagua
 
HAYA TEAM KIBA KUJENI HAPA FULL EVIDENCEZ NA SIO KUONGEA KUONGEA BILA USHAHIDI.KAMA NIIVO KIBA SI LOLOTE SI CHOCHOTE MBELE YA #DIAMONDPLATNUMZ2016.
Big UP samsun!!!
 
Last edited by a moderator:
R. Kelly bado anamkumbuka ALi Kiba? Ila nimemsifu kwa jitihada za kujifunza kingereza. Diamondi kweli shida. ANawapa hawa wakongwe darasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…