Kiba kajitutumua eti showa ya kufunga mwaka,kiingilio 15,000.Diamond show zake za diamonds are forever anapiga 50,000..
Kiba 15,000 hicho kiingilio cha Jahazi wakiwa na msaga sumu.humuwezi diamond,kama unabisha andaa show ya 50,000 kama hujatumbuiza viti