Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

Acha kuleta um b ea Hakuna tuzo zilizo chini promota yeyote yule,punguza ujinga
 
Eeeh inachekesha kura hamkupiga za kutosha, ndio maisha.

Kuna akili zimetumika mwaka huu, niliwasoma wengi humu. Ndio maisha, mwakani akichaguliwa kuwania tena pigeni kura za kutosha.

Pia uache tabia ya kutunga habari za uongo kizaidi, unaboa sana.
 
Mnakaz vijana wakat mwenzio anafanya mziki kaz huyo mtu wenu amekalia majungu na nyie mashabiki zake mmejaa matus sasa mtafanikiwaje
 
Jamn kiba kazeeka si akalee watoto wake Kama mwanzo
 
Poa bas tusubir na MTV nako tuone kama watu wa IT watakuepo nao
 
Sasa naanza kuamini kabisa Ile tathmini ya watanzania wanne mmoja anakuwa nanii,
 
Umeikopi wapi hii post.....
Paragraph ya kwanza umeandika kiswahili kilichonyooka tena ambacho kimekataana kabisa na kichwa cha habari.

Weka link ya vyanzo vyote viwili ulipoinakili hii post na ya hiyo ya kuhujumiwa.

La sivyo naona mnamtengenezea ali kiba mazingira ya kuonewa huruma
 


Jiheshimu bhana, KIBA Ndio Msanii Bora East Africa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…