King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nyie mnatamani kuipata wakati wengine washanyanyua kwapa na tumesahau kama kuna hiyo tuzo kweli nyie local sana bado.Eti kiba hajapata nomination hata moja mtvmama, hivi wewe umelewa viroba au? Best collaboration n song of the year
Mbali tu na mtvmama, jua kiba yupo nominated mtvema tuzo kubwa duniani kuliko hivyo viafrimma vyenu, ndiomana Olamide alisema anaona fahari kuwa nominated MTVEMA kuliko tuzo nyingine yeyote mwaka huu.
kama hujui MTVEMA ni kitu gani, kawaulize mabos wako , yani kiafrica hakuna msanii asiyetaman MTVEMA na BET, take it in your mind usije ukachekwa bure.
Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.
Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe kwenye page yake instagram kuwa "kuna watu wanajaribu kupoteza pesa zao kwa kuhonga waandaji wa tuzo ili kumshusha Kiba kimziki",
Kauli hiyo ilipingwa vikali na mahasimu wake kimziki ikiwemo genge la WCB. Lakini kwa wenye akili tuliamua kuchukulia suala hilo for profit na kuanza kutafutia ukweli juu ya hilo.
Ni mwezi August 2016 ambapo waandaaji wa tuzo za Afrimma walitoa majina ya wasanii waliochaguliwa kushiriki huku Diamond na Alikiba wakiwa ni watanzania waliokuwa wapo katika category ya "Best east Africa male",
Kama tulivyoshuhudia juzi matokeo yake yamegubikwa na ukungu mzito hasa ukizingatia Msanii alikiba ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kura kwa zaidi ya robo na kuwapiga gap washiriki wenzake wote katika category hiyo. Mshindi aliyetangazwa si halali na hilo limebainika baada ya miongoni mwa vijana wazalendo wa IT waliokuwa wakiendesha zoezi hilo kufichua siri hiyo kupitia mtandao wa perscope.
Swali la kujiuliza, hawa wanaonunua tuzo wanapata faida gani? Maana kama graph ya msanii wao kimziki inashuka je njia sahihi ni kufanya fitna za namna hii?
Mhusika mkubwa wa hujuma hizi ni ni promoter mtanzania anayeishi USA anayejulikana kwa jina la DMK ambaye yeye na Alikiba ni mwaka sasa wamekuwa na mgogoro wa kimaslahi baada ya Alikiba kukataa kutumika kama rubber stamp kwa kupiga show zenye maslahi madogo,
kwahiyo hii inasadikiwa kuwa ni sababu ya promoter huyo kumuhujumu Alikiba, hivyo msitarajie hata siku moja mkamsikia Alikiba akiwa ameshinda kwenye tuzo zozote zilizopo chini ya promoter Dmk, tuzo kama Afrimma USA, AEUSA.
[HASHTAG]#JusticeForKiba[/HASHTAG] [HASHTAG]#SolidarityForever[/HASHTAG]
Naona kiba alipata kura 234 444 542,noma sana,basi video zake YouTube zinhekuwa angalau na views 50,000,000 maana ana washabiki wengi,kama watu wote hao wanaweza kumpigia kura,DONT BE STUPID.Ngoja nikusaidie kuupload hzo appo ndo ushaidi
Wa kwanza angalia bar graph ya ali ilivojuuView attachment 420548 ushaidi wa pili angalia polls counter inasoma kura nyingi za allyView attachment 420549 ni hayo tyu
Kua na mashabiki wengi sio chanzo cha kupata viewer wengi youtube hyo inatokana na juhudi za msanii kuhamasisha watu kuiangalia kwa wingi video yakeNaona kiba alipata kura 234 444 542,noma sana,basi video zake YouTube zinhekuwa angalau na views 50,000,000 maana ana washabiki wengi,kama watu wote hao wanaweza kumpigia kura,DONT BE STUPID.
Naomba source ya hizi data? Yaani mtu kakaa katengeneza na wewe umeingia kichwa kichwa?Usijali jamaa yangu hata meme iliniuma sana baada ya kuona hzi leak photosView attachment 420543 ukiangalia hapo utaona grafu ya alikiba iko juu kuliko ya diamond huu ni ushaidi wa kwanza
Ushaidi wa pili tena vote au polls count inasoma alikiba ni mshindi View attachment 420544 kama inavoonekana picha nyingine hyo ikionyesha polls count.. By the way sina team napenda mziki mzuri nashukuru kwa kuwa tuzo imerudi nyumban
Cheki ulivyomjinga ndugu yangu,kwa hiyo hao milioni mia mbili wanamjulia wapi Kiba,Tanzania ina watu milioni 50,inamaana hao wengine wanamjulia wapi?Kua na mashabiki wengi sio chanzo cha kupata viewer wengi youtube hyo inatokana na juhudi za msanii kuhamasisha watu kuiangalia kwa wingi video yake
Mtu mmoja alikuwa ana uwezo wa kupiga kura mwisho mia moja sasa watu mia mbili wakipiga kura mia moja kila mtu unafikiri kura zitakuwa ngapi lete facts na sio maneno matupa huna jipyaCheki ulivyomjinga ndugu yangu,kwa hiyo hao milioni mia mbili wanamjulia wapi Kiba,Tanzania ina watu milioni 50,inamaana hao wengine wanamjulia wapi?
Na wewe umeamini hizo data za kupika?Mtu mmoja alikuwa ana uwezo wa kupiga kura mwisho mia moja sasa watu mia mbili wakipiga kura mia moja kila mtu unafikiri kura zitakuwa ngapi lete facts na sio maneno matupa huna jipya
Kwaiyo akishindwa tuzo ziko fair na akishinda kahonga?Kumbe ali kiba ndo alitakiwa...kumbe tuzo za afrima Nazi wanaibaga...duuh...ila itakuwa kweli manake yemi yalade nae alikosa...tiwa savage nae alikosa...diamond amezid kuhonga basi....!! Huyu jamaa ana pesa kiasi gani...itakuwa aliwahonga majaji ali kiba akose tuzo daah jaman masikin ya mungu...au ni kiki za genge za ali kiba...!! Kwanini diamond kuna tuzo za uganda alishindwa kuhonga..na kwanini zile BET nazo akuhonga...mmh
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Mawazo mgando.
He's sarcastic... msome kwa vituo utamuelewa!Kwaiyo akishindwa tuzo ziko fair na akishinda kahonga?
BET kachaguliwa mara 2 kakosa zote
Wizkid kachaguliwa mara 4 kakosa zote
Yemi alade kachaguliwa mara 4 kakosa zote
Cha ajabu wabongo mnasema diamond kashindwa kuhonga
Mwaka jana diamond kashinda mtv ema europe na world wide alihonga walisema
Mwaka huu kachaguliwa alikiba mnasema tuzo za mtv ema hazina figisu wale wazungu
Wabongo poor mentality
We jamaaaa wamaaana sanaNaomba source ya hizi data? Yaani mtu kakaa katengeneza na wewe umeingia kichwa kichwa?
Ukiachana na hilo
Tuzo za kimataifa huwa haziamuliwi na kura peke yake masna wanajua kuna mataifa yana wakazi wengi zaidi mfano taifa kama nigeria lina watu zaidi ya milioni 180, tanzania watu zaidi ya milioni 45, kura peke yake haiwezi kuamia mshindi.
Mtv mama unakuta katika 100% kura zina mchango wa 30%
Academy ina mchango 40%
Asimilia zilizobadi wanaangalia umefanikiwa kiasi gani mwaka husika.
Sasa wabongo huwa mnadhani kura ndo kila kitu kama tuzo za ktma
Tuza za BET ukipiga kura ukipiga kura chart inaongekana nani anakura nyingi
Hadi siku ya mwisho wa kupiga kura mwaka huu diamond alikuwa anazaidi ya 55% ya kura akifuatiwa na yemi alade 35%
Black coffie alikuwa na zaidi 10% na ndo aliibuka mshindi.
Sasa wabongo wasio elewa wakaanza kutukana mtandaoni
Kwenye tuzo kura sio kila kitu