Ali Kiba akiri kuwa Barakah The Prince ako na akili za kitoto

Ali Kiba akiri kuwa Barakah The Prince ako na akili za kitoto

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Wambeya wanasema kuwa urafiki baina ya Ali Kiba na Barakah The Prince unadidimia kwasababu ya bifu kati ya Baraka na Ommy Dimpoz.

Inasemekana kuwa ukaribu wa Dimpoz na Ali Kiba umechangia kuzorota kwa urafiki baina ya Kiba na Baraka kwasababu Dimpoz na Baraka hawali sahani moja kwa sasa.

Akiongea na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Ali Kiba alikiri kuwa Barakah The Prince ako na akili za kitoto ndio maana kuna maadhi ya mambo yanaibuka kwamba haelewani na baadhi ya wasanii wenzake.

“Mimi nadhani ni utoto tu, nadhani ni umri tu lakini Baraka yupo vizuri, ni mtu anayesikiliza na ana rekebishika. Muda mwingine labda umri ndio unampeleka lakini muda mwingine mtoto akifanya jambo unamwambia. Ni mdogo wetu tutamwelimisha na sidhani kama anamchukia Ommy Dimpoz labda ni maneno tu ya mtaani,” Ali Kiba alisema.

Chanzo: ghafla blog
 
Baraka bado ana safari ndefu ya kuubeba umaarufu ni mara nyingi anashindwa kujieleza huo ni udhaifu wake anapenda pia kuvimba bila kujali anamvimbia nani naamini watu wake na management wana jukumu la kumlea ili asiharibu image yake na management pia hii inatoka na umaarufu kuja ghafla bila kuandaliwa kwangu wako watoto wawili Baraka na Harmonize wanahitaji mtu wa kuwatuliza ili wamudu presha ya umaarufu.
 
Management yenyewe ya hovyo ndio maana anaona asishoke nayo sana,mbona hata Jide huwa ana time ya kushoboka nayo kivile unaweza kudhani kuwa hayupo humo.
 
Baraka bado ana safari ndefu ya kuubeba umaarufu ni mara nyingi anashindwa kujieleza huo ni udhaifu wake anapenda pia kuvimba bila kujali anamvimbia nani naamini watu wake na management wana jukumu la kumlea ili asiharibu image yake na management pia hii inatoka na umaarufu kuja ghafla bila kuandaliwa kwangu wako watoto wawili Baraka na Harmonize wanahitaji mtu wa kuwatuliza ili wamudu presha ya umaarufu.
Sema tu hamornize anaweza kujieleza.
ila ushamba umewazidi hawa vijana

wanahitaji wazee wa baraza[emoji23]

Sent From my C5 wereva
 
Sema tu hamornize anaweza kujieleza.
ila ushamba umewazidi hawa vijana

wanahitaji wazee wa baraza[emoji23]

Sent From my C5 wereva

Recently Harmonize amepoteza uwezo wa kujieleza kabisa akifanya interview anajiweka level za baba ake Chibu naishia kucheka tu.
 
[emoji23][emoji23]yule mmakonde mwenzangu anatia sana aibu sikuhizi

Sent From my C5 wereva
Mkanyeni mmakonde mwenzenu maana anaboronga sana interview siku izi afu ananiuzigi na tabia yake ya kucheka cheka kipindi anafanyiwa interview anaboaga kisenge

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume gani kila siku wananuniana, au watoto si riziki?
 
Mkanyeni mmakonde mwenzenu maana anaboronga sana interview siku izi afu ananiuzigi na tabia yake ya kucheka cheka kipindi anafanyiwa interview anaboaga kisenge

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kafanye yako uliye usicheke.

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Recently Harmonize amepoteza uwezo wa kujieleza kabisa akifanya interview anajiweka level za baba ake Chibu naishia kucheka tu.
Sasa wewe ulitaka ajishushe. Hakuna kitu nachukia kama kujiweka Chini.

Wewe ni Kichwa kwanini unataka kuwa Mkia?
 
Back
Top Bottom