Ali Kiba amlalamikia Sallam SK kuwa anahusika na kuzimika kwa 'mic' Mombasa

Upo sahihi mkuu!
Si ajab siku zijazo tukaona connection hyo,ndio maana mi namkubali domo hata kama sipati chochote ktk mafanikio yake lakini tutaendelea kuwasifu wenzetu mpk lini?
Acha watu watengeneze fursa hao wa kulalsmika waendelee tu kulalamika
 
Mkuu usiwe unawajibu watu dizaini hiyo.
Akili mgando hizo unapoteza muda wako mkuu
 
😀😀😀😀 Huu ni ukurasa mpya wa bifu sasa, kwahiyo Kiba anahisi Salam alifanyaje hadi Mic ikakata?
 
Mbona anavisababu vya kitoto huyu inamaana wale walioandaa show ni wajinga mpka wamruhusu mtu asiejulikana amzimie mic msanii walie mlipa 150 mil kweli?
Duuuuuuh , Mbona life is not fair
Yan kiba kapewa mil 150 wakati breezy kapewa bilion 2 kasoro
 
mi naona marangirangi tu!
 
Umemaliza yote mkuu.... Kiba WCB hatuna njaaa kiivo aiseee hiv ameangalia chanzo cha mic kuzimwa au amekurupuka tuuu...
 
Back stage anafanya nini kwani ilikuwa show ya Diamond???

Ali kiba hebu njoo na sababu za kueleweka...
 
Aiseee umeongea point sana!!! Hyo backstage alikuwepo manager wa diamond peke ake,show maarufu km hyo na Alikiba kalipwa ingekuwa vp mtu hata hausiki katika maandaliz afanye fitina ya namna hyo?,Mm nafikir huyu jamaa anatafuta sababu vile ame underperform kuliko alivyo na tulivyotarajia...and sio vzr kutoa shutuma za hv akat yy mwenyewe hana uhakika na analolizungumza,anatoa tamko kulingana na macho yake yalivoona ila hajui exactly sallama alikuwa anafanya nn kule nd in fact hakuona watu wengine huko???[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…