Ali kiba amuondoa Rich Mavoko WCB

Kutokana na heading yako, Sasa Ali kiba kamuondoaje mavoko WCB? Au mimi ndio sijakupata vyema
 
Reactions: MTK
Umbea tu huo, porojo tupu! Chonganishi bwabwa!
 
Story za kusadikika hizi
 
mwisho wa siku tutasema mavoko altembea na mama_mond ndo akafukuzwa
 
Safi tu....wakitaka hata wapigane ngumi si kikubwa burudani
 
Yani kila kitu ni Ruge na CMG [emoji28][emoji28][emoji28] msiwachafue watu kama Mavoko ameondoka si ameondoka mwenyewe...
Bado mpaka sahiz hata huyo mavoko haja jitokeza mbele za watu na kusema kilicho msibu ni kipi
 
huyo mavoko yupo kabla ya wcb.kabla ya kuingia wcb alifanya nini cha maana?ngoja tuone baada ya kuondoka wcb atafanya nn?time will tell.
 
mavoko akivunja mkataba itabidi alipe pesa nyingi sana
wakubali tu Diamond hana mpinzani kwa sasa
 
Bdozen watu wanamoverrate sana..eti yeye ndo refa wa mziki wa bongo..WTF
 
Mavoko tutamkabidhi kwa mpole mwenzake lavalava....ndo viwango sawa...simba atambaka bureeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…