Ali kiba anasikika akitaka kutoa nyimbo na LAZIMA wapambe watafute bifu dogo na Diamond

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Na kwa sasa clouds wanampandisha Aslay achukue nafasi poleni sana wale wanazi wa kiba.
Ni msanii Fulani mbovu mwenye nyodo anayeishi kwa kivuli cha diamond
 
Mmh nilidhan kutakua na maelezo mareefu kuhusu alikiba badala ya aslay na clouds
 
Jiandae baba. Usiwashe moto usioweza kuuzima.
 
Na kwa sasa clouds wanampandisha Aslay achukue nafasi poleni sana wale wanazi wa kiba.
Ni msanii Fulani mbovu mwenye nyodo anayeishi kwa kivuli cha diamond
Kufikiria kwako ndo kumeishia hapo
 
Wafa maji aka wazee wa 20% mshaanza kutapatapa tatizo sio nyie tatizo mwarabu mluguru wa morogoro ndio aliyewaharibia
 
20% inatoka wapi hoja hapa Alikiba ni msanii wa msimu,akitaka kutoa nyimbo anafind bifu
 
Na kwa sasa clouds wanampandisha Aslay achukue nafasi poleni sana wale wanazi wa kiba.
Ni msanii Fulani mbovu mwenye nyodo anayeishi kwa kivuli cha diamond

dada kama hauwezi ukaelezea, ungekaa nalo moyoni

alikuwa mpenzi wako, kakupiga chini unamwanzishia thread! noma hii
 
Umeelewa na Imepenya msanii anasafiria nyota
 
Na kwa sasa clouds wanampandisha Aslay achukue nafasi poleni sana wale wanazi wa kiba.
Ni msanii Fulani mbovu mwenye nyodo anayeishi kwa kivuli cha diamond

hakuna kipya ulichosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…