Hajitambuw mkuu.Jamii forum kuna watu wa jinga huyu ni aina ya vijana wa facebook
sawa, hakuna aliyebisha, tatizo niniUmeelewa na Imepenya msanii anasafiria nyota
Mkuu na yey kama mim. Kaanza mwaka huu.Jamii forum kuna watu wa jinga huyu ni aina ya vijana wa facebook
afadhali unajitambua sasa!!
Dogo hapakutoshi rudi facebook mapema.Umeelewa na Imepenya msanii anasafiria nyota
umetisha mkuu!! ulivyoanzisha maada kama kweli una akili timamu au hauko emotional una tatizo mahaliMmezoea kubinywa eeeh nyie mitoto ya da mnahisi kila unalifanya wenzio wanafanya....
Chuki za nini? Si ukapambane na hali yako?Rudi sawa binti yangu.. Utasikia nina digrii bora mie mvuvi
Nilijua Ni threadSMS sent
Nilijua Ni thread
Alikiba kashakufa kimziki,Na kwa sasa clouds wanampandisha Aslay achukue nafasi poleni sana wale wanazi wa kiba.
Ni msanii Fulani mbovu mwenye nyodo anayeishi kwa kivuli cha diamond