Obadiahmayunga
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 163
- 109
Kapi ndo mdudu gani bob??ana tuzo kapi za nje zinazotambulika na tasnia ya mziki kidunia?
Wewe ulikuwa darasa la ngapi?2002 Darasa la Nne!!!
Kwa JF ya leo. Mkuu wewe ni Muhenga.
jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua
NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
2002 Ali Kiba alikuwa hayumo kwenye list ya waimba Bongo Fleva usitake kutulisha matango pori, nimeanza kuwa na wasiwasi na hata hilo darasa lako la 4, usije kuwa kama Bashite.
2002/2003 tayari alikuwa an ngoma inaitwa Kuteseka aliimba na Dully Sykes...haikuhit kufikia kiwango cha juu, ila toka wakati huo nilishampitisha kwamba ni msanii mwenye uwezo wa juu kabisa!Tutajie mwaka 2002 Kiba aliimba wimbo gani?
hahahhahahhahahahahhahhha ali kiba amehit na late 2003 kakaAlikiba ameanza kujulikana miaka ya 2006/7 alipotoa wimbo wake 'sikuoni', huyo Alikiba wa mwaka 2002 ulikuwa unamjua wewe na bibiyako
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhahahhahahahahhahhha ali kiba amehit na late 2003 kaka
check link hiyo ‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya.. – millardayo.com
wewe mtoto wa juzi kweli