Umemsahau dully sykes, zay b, prof jay, biko, king sepeto, enzi hzo fiesta inaitwa summer jam, kina balozi, mr 2,gwm,big dog pose, suma gMwaka 2002 Clouds FM ilikuwa inapatikana town tu, concerts zilikuwa zinafanyika pale Pool Side, Kilimanjaro Hotel. Wasanii waliokuwa wanapanda stage ni Juma Nature kabla TMK, Inspekta Haroun, Unique Sisters, Solo Thank, Daz Nundaz, Jide mwenyewe alikuwa na single 2, huyo Ali Kiba alikuwa hajulikani ni kituko gani. Chezea mwaka 2002.
Duuuuuu unatudanganya mkuu unamsikiliza toka 2002 ????? Acha kudaganya watu wew... Kiba alianza kusikika 2006 na ndipo 2007alitoa albam yake ya kwanza Cinderella....tuambie ni nyimbo gani ulikuwa unasikiliza kutok a kwa kiba 2002 labda sizijui mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
My number one ilichukua tuzo saba kwa usiku mmojajamaa kila ngoma laza shirikishe mtu hakuna kujiamin hata kidogo hahahhaaaaa king jesh la mtu mmoja anawaonesha madogo mauwezo hivi kuna ngoma ya diamond iliyochukua tuzo nne ambayo hajamshirikisha mtu wa nnje ya mipaka ya TZ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa hiyo mapenz yanarun dunia ni hatari aifanyie official video kabisajamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua
NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
Huyu Bushman akacheze na matembo yake tu na mitamasha yake ya kishamba!Yeye anatafuta umaarufu mwenzake anatafuta vyote!Btw bushman hata chibuku tu imemshinda kumwingizia mtonyo?jamani nimeanza kusikiliza hits za ali kiba mwaka 2002 nikiwa darasa la nne na mr blue mpakaleo hii nina MSC and family either these guy deserve their kingdom hakuna msaa ambaye ame maintain kama hawa hapa bongo more than 15 years on the game kwenye midomo ya watu jamani we are to accept the reality the flavour ni ya hawa watu halafu ali kiba hajawahi kutoa song isiwe hit haijawahi tokea nadhani mtakuwa mnaelewa povu la omo ruksa guys ila ukweli mnaujua
NOTICE:ali kiba naomba uzirudie hits zifuatazo kaka(i mean refurbishment)
mapenzi yana run dunia
my everything
mac muga
karim
to mention few
Hapo naijua tuu Sinderela tena ilisemekana alimuibia Mb Doggy.2002/2003 tayari alikuwa an ngoma inaitwa Kuteseka aliimba na Dully Sykes...haikuhit kufikia kiwango cha juu, ila toka wakati huo nilishampitisha kwamba ni msanii mwenye uwezo wa juu kabisa!
Hata alipokuja kutoa album yake ya Cinderella, Kuteseka ndio wimbo ulionichagiza kununua ile tape...
Kwa kifupi jamaa ni zaidi ya Msanii, Cinderella album wengine ndio imetufanya tuwe mashabiki waamifu kwake mpaka leo...
Nyimbo kama Yatima, Nichum, Sabrina, Sikuoni na Njiwa ni nyimbo zinazoishi siku zote!!
nawe unadanganya wahenga sasa!Alieitambulisha bongo flavor ni crazy t, na wimbo wake wa angwisa 1998, akimshirikisha Sara. Huyo ndio apewe ukingi, na sio mondi wala kiba
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani lazima ichukue 4 mkuu ndo uridhike kuwa jamaa ni wa kimataifa na anajua kibongo bongo?number one orig. ilichukua 3 usiku mmoja pale south.