Ali kiba anzisha kampuni yako kama WCB uwape ajira wanaokuzunguka.. upate baraka

Ali kiba anzisha kampuni yako kama WCB uwape ajira wanaokuzunguka.. upate baraka

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

msanii anaeonekana ni mshindani mkubwa wa diamond ni ali kiba... na ameanza mziki zamani kabla ya diamond..

kipindi hiki nchi ina tatizo la ajira.. ali kiba alipaswa awe mmojawapo ya waajiri wa vijana kwa kutumia kipaji chake..

diamond alivyotoka watu kibao wametoka nao kuanzia ndugu zake kina romy jones aliyemwajiri kama dj wake mpaka kina kifesi mpiga picha wake na watu wengine kibao.. ofisi ya WCB palw sinza ina watu zaidi ya 20 wanaendesha maisha yao kwa mafanikio ya diamond...

mose iyobo na wenzake madancer..

receptionist..

mlinzi wa getini pale ofisini..

body guard wa diamond mwarabu fighter..

lizer producer wa wasafi record.. na tudd thomas personal producer wa diamond plutnumz...

kina harmonize, ray vanny, maromboso, rich mavoko, queen darleen wote wanafanikiwa kwa kutoboa kwa diamond..

bila kusahau kina spesho, tshirt garage, qboy msafi na wengineo wengi wanapata sana dili kwa oda za wasafi...

nawaza tu je king kiba nae akianzisha kitu kama hiki... jamaa zake wa kariakoo na ndugu zake hawatatoboa na kumuongezea baraka..

esma plutnumz na halima kimwana dada wa diamond anafanya biashara safi kwa jina la kaka yake tu...
 
Mbona humuulizi Harmorapa?!
mimi sina kipaji kama cha ali kiba.. ila nina biashara ndogo ndogo nimetoa vibarua kwa jamaa zangu wa karibu...

najiuliza why mwenye kipaji na jina kubwa kama kiba aanzishi kampuni vijana wapate ajira
 
Kiba na hayo makampuni wapi na wapi mzee?? Mwenzio akisema yooooo anaona ndo keshaanzisha kampuni tayari..yaani jamaa sijui ana ubongo wa sangara ama vp?? Kipaji kama kile na mashabiki kama hawa bado tu unakua bwegge si uffala huo?? Eti anamilikiwa na kampuni ya demu? Maza fakaaa!!
 
Yooooooooooo pop it in eti supported by kiba ila anapendezea kwenye tembo sana yoooooooooo......kiba for real
 
Alikiba ni mmoja ya msanii mzigo na mjinga mjinga kati ya wasanii wa tanzania tulionao
 
Alikiba ni mmoja ya msanii mzigo na mjinga mjinga kati ya wasanii wa tanzania tulionao

Namimi naongezea moja ya wasanii bogas walioshindwa kutumia fulsa, hebu uncle Ruge keti chini na Alikiba umfundishe fulsa alizonazo kupitia jina lake
 
Bongo ndo maana hatuendeleei kwaio mtu aanzishe kitu sababu tu fulani nae kaanzisha? kimsingi atakua hana malengo ua anataka afike wapi....
 
Timu dimondo ni shida sana yaani wameoNa kampuni ndo dili????
Mbona hata mm Nina kampuni lkn sijaanza kujitapa tena kampuni kubwa kama ya Dr shika!!!!
Mtoa mada kampuni siyo dili na kutoa watu kimaisha siyo lazima uwe na kampuni
 
habari wadau..

msanii anaeonekana ni mshindani mkubwa wa diamond ni ali kiba... na ameanza mziki zamani kabla ya diamond..

kipindi hiki nchi ina tatizo la ajira.. ali kiba alipaswa awe mmojawapo ya waajiri wa vijana kwa kutumia kipaji chake..

diamond alivyotoka watu kibao wametoka nao kuanzia ndugu zake kina romy jones aliyemwajiri kama dj wake mpaka kina kifesi mpiga picha wake na watu wengine kibao.. ofisi ya WCB palw sinza ina watu zaidi ya 20 wanaendesha maisha yao kwa mafanikio ya diamond...

mose iyobo na wenzake madancer..

receptionist..

mlinzi wa getini pale ofisini..

body guard wa diamond mwarabu fighter..

lizer producer wa wasafi record.. na tudd thomas personal producer wa diamond plutnumz...

kina harmonize, ray vanny, maromboso, rich mavoko, queen darleen wote wanafanikiwa kwa kutoboa kwa diamond..

bila kusahau kina spesho, tshirt garage, qboy msafi na wengineo wengi wanapata sana dili kwa oda za wasafi...

nawaza tu je king kiba nae akianzisha kitu kama hiki... jamaa zake wa kariakoo na ndugu zake hawatatoboa na kumuongezea baraka..

esma plutnumz na halima kimwana dada wa diamond anafanya biashara safi kwa jina la kaka yake tu...
Yeye mwenyewe anaitaji kampuni ya kumsaidia
 
Back
Top Bottom