habari wadau..
msanii anaeonekana ni mshindani mkubwa wa diamond ni ali kiba... na ameanza mziki zamani kabla ya diamond..
kipindi hiki nchi ina tatizo la ajira.. ali kiba alipaswa awe mmojawapo ya waajiri wa vijana kwa kutumia kipaji chake..
diamond alivyotoka watu kibao wametoka nao kuanzia ndugu zake kina romy jones aliyemwajiri kama dj wake mpaka kina kifesi mpiga picha wake na watu wengine kibao.. ofisi ya WCB palw sinza ina watu zaidi ya 20 wanaendesha maisha yao kwa mafanikio ya diamond...
mose iyobo na wenzake madancer..
receptionist..
mlinzi wa getini pale ofisini..
body guard wa diamond mwarabu fighter..
lizer producer wa wasafi record.. na tudd thomas personal producer wa diamond plutnumz...
kina harmonize, ray vanny, maromboso, rich mavoko, queen darleen wote wanafanikiwa kwa kutoboa kwa diamond..
bila kusahau kina spesho, tshirt garage, qboy msafi na wengineo wengi wanapata sana dili kwa oda za wasafi...
nawaza tu je king kiba nae akianzisha kitu kama hiki... jamaa zake wa kariakoo na ndugu zake hawatatoboa na kumuongezea baraka..
esma plutnumz na halima kimwana dada wa diamond anafanya biashara safi kwa jina la kaka yake tu...