Ali Kiba asaini mkataba na Sony Music, South Africa

Ali Kiba asaini mkataba na Sony Music, South Africa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Leo Akiwa South Africa Alikiba Amesign Sony Music ,Lebo hii ambayo inawasimamia akina Chris Brown,Davido na John Legend itakuwa na Kazi ya kutangaza video na Audio za Alikiba Kimataifa na Duniani kote

Nitaleta Taarifa kamilii hapa!

=======================

Habari wapenzi wa burudani,

Yule nguli wa Bongo Fleva na staa wa Bongo Fleva, Ali kiba amesaini mkataba leo na kampuni ya Sony Music jijini Johannesburg,South Africa, moja ya vitu vilivyomo kwenye mkataba huu ni kampuni hii kubwa ya muziki duniani kusimamia pia video zake na audio kwa kuzilipia na kuzifikisha kwenye masoko makubwa ya muziki duniani.

image.jpeg

Ali Kiba ameungana na mastaa wengine duniani waliosign Sony Music kama Davido (Nigeria) , Chris Brown ( Marekani) ,John Legend na wengineo.

Baada ya kusaini mkataba na SonyMUSIC leo, sasa kazi zake zitasimamiwa na SonyMusic duniani kote ambao watasimamia kazi zake kwa kiwango cha kimataifa, hiyo ni moja ya vitu watafanya

image.jpeg

=======
Tanzanian singer and songwriter Alikiba, Sony Music Entertainment Africa and ‪major african record label ROCKSTAR4000‬ have a groundbreaking announcement to make!

Just a few weeks after Davido signed a major deal with Sony Music, ROCKSTAR4000 is proud to announce that Alikiba will be the second major African artist signing with the prestigious label and will also be the first from East Africa.
 
Ok, baada ya kusign huko afanye kaz sasa siyo aanze kuleta uswahili wake
 
Leo Akiwa South Africa Alikiba Amesign Sony Music

Nitaleta Taarifa kamilii hapa!
Akaze sana buti kwa hatua hii... maana kuwa lebo moja na Rose muhando sio jambo dogo.

Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists , which includes some of the most important recordings in history. The signing was announced at a press conference in Dares Salaam, Tanzania on the 9 th February 2011, and is the first deal of its kind for East Africa.

source: www.rockstar4000.com/m/blogpost?id=3633140%3ABlogPost%3A31944
 
ni kweli kashamwaga wino Sony, ni habari njema sana, kuwa lebo moja na Rose muhando sio jambo dogo.

Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists , which includes some of the most important recordings in history. The signing was announced at a press conference in Dares Salaam, Tanzania on the 9 th February 2011, and is the first deal of its kind for East Africa.

source: www.rockstar4000.com/m/blogpost?id=3633140%3ABlogPost%3A31944
 
Tabu ya huyu kijana wa k,koo ataishia kupiga picha na kusambaza tu,
Mwenzake akiibuka anakuja na kitu kipya kinampa hatua 10 mbele, kiba anaponzwa na mashabiiki maharage wake
Tunaomba wataalam mutuelimishe hivi uki sign na label kama Sony ina maana gani??
 
Tabu ya huyu kijana wa k,koo ataishia kupiga picha na kusambaza tu,
Mwenzake akiibuka anakuja na kitu kipya kinampa hatua 10 mbele, kiba anaponzwa na mashabiiki maharage wake
Tega sikio kesho team Diamond ina habari njema sana.
 
Back
Top Bottom