joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
mbaya zaid na hatar ni nguvu kazi ya taifa na wengi wao watoto wa kiumeWivu mbaya sana hasa ukiwa unaemuonea wivu hakujui unajikuta unakonda tu bila sbb hizo timu zenu zimewafanya baadhi yenu kuwa kama wendawazimu
Tunaomba wataalam mutuelimishe hivi uki sign na label kama Sony ina maana gani??
Yap! Wali-team up kwa takribani miaka 4 au 5 sasa!Mkuu hivi rockstar inayomsimamia si ipo chini ya sonny music?
Kuwa kwenye label kubwa kama Sony kuna faida zake kv kunatoa uwezekano wa kazi za msanii kuwa widely promoted!Tunaomba wataalam mutuelimishe hivi uki sign na label kama Sony ina maana gani??
Mkuu si unafaamishwa kama mtoa mada alivyotufahamisha, mbona yeye (mtoa mada) ujamuuliza lengo lake la kutufahamisha ni nini??so??point yako haswa ni nin?
so??point yako haswa ni nin?
kwani aliesema ni wa kwanza nani??point yake ni kwamba Alikiba sio wa kwanza kusaini Sony music kama hiyo taarifa ilivyosema , ni sawa na kusema Diamond ni msanii wa kwanza kushoot video na Godfather wakati si kweli komando Jide alishafungua utepe kitambo....umeelewa?
kwani aliesema ni wa kwanza nani??
unajua maana ya "major"?Just a few weeks after Davido signed a major deal with Sony Music, ROCKSTAR4000 is proud to announce that Alikiba will be the second major African artist signing with the prestigious label and will also be the first from East Africa.
au lugha inakupiga chenga?
unajua maana ya "major"?
kama unaelewa maana ya hii sentesi haina haja ya kuendelea na mabishanokwahiyo Rose Muhando alisaini small deal? hebu ficha upumbavu wako...Alikiba ni namba 2 kusaini hiyo lebo baada ya Mhando Kwa hapa east Africa .....tena si hao tu kuna mwimbaji mwingine gospel wa Kenya emi kosgei alisainishwa sonny pia