Hizi msg zimenihamisha mawazo kidogo
Hilo nalo ni swali zuri kwa kweli , how can someone verify thats king kibaHow sure are you that it comes from Kiba?
Ladies let me see ya go down low........
Wwe picha zake umezitoa wapi?
There are five holesHahahahahahaha
Inawezekana kabisaHivi siwezi msave mtu Wizz kid afu nikawa nachat nae? Nikascreen shot kuwa nachat na Wizz???
Hiyo sio ya kuamini
Hicho kitendo kimefanyika juzi alivyokuwa kwenye show Mombasa?
Hicho kingereza mbona kibovu hivyo
Halafu akauliza where......So he used all three holes
Ha ha ha we jamaa bhana...you make my day..Hicho kitumbo ni cha kiepe ama mimba?
Inawezekana hata ukiwa na simu 3 tofauti line tofauti ukajichatia mwenyewe na kujijibu inawezekana piaHivi siwezi msave mtu Wizz kid afu nikawa nachat nae? Nikascreen shot kuwa nachat na Wizz???
Hiyo sio ya kuamini
Huyu atakuwa ni barobaro wa Mombasa .
Kwa kua ni wa mombasa ila quality hamnaKhaa choka mbaya hata pale Manzese kwa mfuga umbwa wamejaa tele hawa wa kuunganisha minywele. du mambo ya celebrities tuwaachie wenyewe maana huyo alikiba kutuletea Whatsapp yake hapa na picha ya profile zikitofautiana kila page sijui ni kick au