Ali Kiba aufyekelea mbali YouTube wimbo wa 'Hela' baada ya kushukiwa na mashabiki wake kutoa wimbo mbovu

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Kiuno kidogo cha Ali Kiba chashindwa kuvaa Pensi ya Pepe Kale, aufuta wimbo wake mpya Youtube.

Ali Kiba aliachia wimbo huo usiku wa kuamkia leo Jumatano hii baada ya kukaa muda mrefu bila kuachia kazi.

Hata hivyo baada ya kuachia wimbo huo, mashabiki walionekana kutoridhishwa na kazi hiyo huku wengine wakidai kwamba wimbo huo ameuridia wimbo wake wa zamani.

Soma>Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela' - JamiiForums

 
MI NILIJUA TU IPO SIKU MTU ATAUMBUKA.HUWEZI FANYA KAZI KWA KUTEGEMEA KUBEBWA NA BIFU,CHUKI ZA WAZI NA KUTOKUBALI KUSHINDWA
Huyu jamaa hakutaka kujifunza badala yake akataka kupambana na walioaga kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…