Ali Kiba aufyekelea mbali YouTube wimbo wa 'Hela' baada ya kushukiwa na mashabiki wake kutoa wimbo mbovu

Kiba ameweka akili zake kwenye kupambana zaidi na mond kuliko kufanya kazi, mwenzie ye yuko tofauti anaangalia kazi kwanza mambo ya bif anawaachia team mond!
 
Ule Mkono wa Diamond pale Leaders umeondoka na nyota ya mtu😂😂😂
 
Ndo maisha! atarudi akijipanga sio mbaya.
 
mapenzi ya upepooooo,kama bendera mama weeeee
Mwenzako moto hauzimiiiiiiiiii


Taratiiiiiiibu nakula 'good music' nyie endeleeni kufuta nyimbo utube
 
Hao wasanii wa bongo flavour na Bongo movie wote wamekaa kiCCM sana. Kwa jinsi walivyokuwa wakiipamba CCM kwenye majukwaa 2015 ili kuwatapeli watanzania, nikiona wanaanguka kimuziki huwa nafurahi sana na kupata faraja sana.

Na bado, wote watakwisha kabisa. Mmoja mmoja. Kama sio kufirisika, wataishia kupigwa miti au kubwia unga.
 
Usituletee siasa kwenye jukwaa letu pendwa tafadhali[emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…