Ali Kiba avamiwa na majambazi nyumbani kwake

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Habari zilizoripotiwa na clouds kwenye page yao ya Instagram wanasema usiku wa kuamkia leo majambazi yamevamia nyumbani kwa Alli - Kunduchi, na kukomba kila kitu. Kwa bahati Nzuri, Kiba hakuwepo nyumbani kwake usiku huo!

Pole sana kijana, Mtanzania mwenzetu!!

Diamond chukua tahadhari; leo kwa Kiba, kesho kwako, imarisha ulinzi nyumbani kwako!
 
Attachments

  • 1430539309083.jpg
    1430539309083.jpg
    42.6 KB · Views: 3,547
  • 1430539337149.jpg
    1430539337149.jpg
    85.9 KB · Views: 3,331
Kila siku kwenye TV wanatangaza mali zao!! Sijui ni ujinga ama kitu gani na diamond nae tunahesabu siku tuu si nyumba yake nae ina gold!..hivi unamuonyesha jambazi mahali ilipo nyumba yako na mali ulizonazo??..hapa sio USA mkiona kina 50 na P.diddy wanaonyesha nanyi mnaiga!!..kamwe sitatoa pole!!..angaibiwa Mpoto ningetoa pole lkn sio hawa wapuuzi wanaoshindana kuonyesha mali zao kwenye mitandao.
 
Kiba ana nini cha kuibiwa..?? Kiki nyingine hzi..!!

Akwendee
 
Mfalme bila malikia?

Mke wake alikuwa wapi?

Jumba la kifalme halina tight security jamani? Yani mpaka vibaka wanaenda kufanyia field ya wizi kwa mfalme?

Damn...
 
Kila siku kwenye TV wanatangaza mali zao!! Sijui ni ujinga ama kitu gani na diamond nae tunahesabu siku tuu si nyumba yake nae ina gold!..hivi unamuonyesha jambazi mahali ilipo nyumba yako na mali ulizonazo??..hapa sio USA mkiona kina 50 na pdiddy wanaonyesha nanyi mnaiga!!..kamwe sitatoa pole!!..angaibiwa mpoto ningetoa pole lkn sio hawa wapuuzi wanaoshindana kuonyesha mali zao kwenye mitandao

Mbona hamsemi mnataka kwenda kuwaibia matajiri wa nchi hii mnapanga kumuibia msanii Diamond...acheni wivu...khaaaaa na kuibiwa kuwe mashindano basi nyie nendeni mkaweke vyenu barabarani muibiwe mtangazwe pia.

badala ya kukiongelea tukio lisilo zuri kama ili mnamuonea wivu Diamond yaani kweli wivu wenu mwenzenu ndio anapaaaa
 
Kila siku kwenye TV wanatangaza mali zao!! Sijui ni ujinga ama kitu gani na diamond nae tunahesabu siku tuu si nyumba yake nae ina gold!..hivi unamuonyesha jambazi mahali ilipo nyumba yako na mali ulizonazo??..hapa sio USA mkiona kina 50 na pdiddy wanaonyesha nanyi mnaiga!!..kamwe sitatoa pole!!..angaibiwa mpoto ningetoa pole lkn sio hawa wapuuzi wanaoshindana kuonyesha mali zao kwenye mitandao

Mpoto amesafishwa sebule mwezi uliopita tu!labda akiibiwa mara ya pili
 
OK kwa nini umemtaja Diamond? ushauri wako wakinaffski na roho mbaya labda weye ndio unayepanga haya...ngoja tukuripoti kwa wana JF wakufatilie kwanza....

Nenda kasome ule uzi special wa fans wa diamond halafu uje tuongee hapa!
 
Kiba ana nini cha kuibiwa..?? Kiki nyingine hzi..!!

Akwendee

kuna kitu nilikihisi wakati nasoma hiyo habari ya kiba kuibiwa nikajiuliza why after zari white party?

nikaona ngoja nikae kimya kwa clouds kila kitu kinawezekana!!
 
Kila siku kwenye TV wanatangaza mali zao!! Sijui ni ujinga ama kitu gani na diamond nae tunahesabu siku tuu si nyumba yake nae ina gold!..hivi unamuonyesha jambazi mahali ilipo nyumba yako na mali ulizonazo??..hapa sio USA mkiona kina 50 na pdiddy wanaonyesha nanyi mnaiga!!..kamwe sitatoa pole!!..angaibiwa mpoto ningetoa pole lkn sio hawa wapuuzi wanaoshindana kuonyesha mali zao kwenye mitandao

Ww mbulula lini ulisikia ali kiba katangaza mali zake??? Acha wivu wa ki-martin kadinda we
 
kuna kitu nilikihisi wakati nasoma hiyo habari ya kiba kuibiwa nikajiuliza why after zari white party?

nikaona ngoja nikae kimya kwa clouds kila kitu kinawezekana!!

Mi nshasema earlier kwamba hizi kiki za kipimbi hazimfikishi kiba popote.

He better stick to his wives...
 
Ww mbulula lini ulisikia ali kiba katangaza mali zake??? Acha wivu wa ki-martin kadinda we

Hivi we ni yaser yule ninae mjua mimi since 77?
 
Last edited by a moderator:
kuna kitu nilikihisi wakati nasoma hiyo habari ya kiba kuibiwa nikajiuliza why after zari white party?

nikaona ngoja nikae kimya kwa clouds kila kitu kinawezekana!!

mkuu umewaza mbali duh usikute wanacheza na akili zetu hahahaha au na yeye alikua kwenye party
 
Habari ya mjini ni Zari white Party
 
Mfalme bila malikia?

Mke wake alikuwa wapi?

Jumba la kifalme halina tight security jamani? Yani mpaka vibaka wanaenda kufanyia field ya wizi kwa mfalme?

Damn...
Mateja hao majambaz now hawaibi vitu wanaiba pesa tu kiba apost picha ya vitu vyake insta tumsaidie vilipo hifadhiwa
 
Back
Top Bottom