King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Na wewe umezidi hata kama ushabiki maandazi sio kihivo mtu kafanyiwa uhalifu wewe unaleta nonsense zako na hisia ka mwanga. Usiongozwe na hisia kukomenti buuuuuana mana reality ndo inaongea.
Kiba ana hela ya kupanga au kumiliki nyumba kunduchi beach?
Daah makavu live!!
Hata benki zinaibiwa, mchana kweupe!!Ina maana hana hata mlinzi mgambo au KK? dah huyu jamaa hajipendi na jina lote hilo?
I know , you are better than that.
No matter what!! Hukupaswa kuandika Yale uliyoandika mwanzo pale.
Sometimes kuteleza kupo,unakuja kugundua tayari public imesha note ulicho andika inabidi uwe mpole tu!!
Mfalme bila malikia?
Mke wake alikuwa wapi?
Jumba la kifalme halina tight security jamani? Yani mpaka vibaka wanaenda kufanyia field ya wizi kwa mfalme?
Damn...
Kiba ana nini cha kuibiwa..?? Kiki nyingine hzi..!!
Akwendee
Mfalme bila malikia?
Mke wake alikuwa wapi?
Jumba la kifalme halina tight security jamani? Yani mpaka vibaka wanaenda kufanyia field ya wizi kwa mfalme?
Damn...
Watu wakiamua kuiba wanaiba tu,labda atumie ulinzi wa Sheikh Hussein R.I.P.Pole ndugu yetu ila cha msing nikuimalisha uliz
Ww mbulula lini ulisikia ali kiba katangaza mali zake??? Acha wivu wa ki-martin kadinda we
Excel mtu yoyote anaweza akaibiwa haijalish yeye ni nani......ni kitendo cha kusema tuu poleMfalme bila malikia?
Mke wake alikuwa wapi?
Jumba la kifalme halina tight security jamani? Yani mpaka vibaka wanaenda kufanyia field ya wizi kwa mfalme?
Damn...
Yeye hatangazi ila anawatuma nyinyi wake zake kupost nyumba zake humu!..mwambieni mume wenu kiba na mume wenu diamond!!..mwisho wa huo utoto wao ni umauti!! Muda utaongea!!..jambazi hana uswaiba anakupiga shaba hata kama ni mpenzi wa nyimbo yako ya single boy au mdogo mdogo!!