Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
hawana bifu ila wale ni mtu na shemeji yakeVizuri huyu jamaa anaweza kuwa daraja la kuwapatanisha hao watu kama kweli haziivi
Unamanisha kiba alikuwa anajimegea Queen[emoji3] [emoji3]hawana bifu ila wale ni mtu na shemeji yake
Amechezea bahatiAjitahidi basi kumpiga tafu "baba yake kwenye muziki" maana "baba yake" ana lalamika kuwa amewatoa wengi ila ni Chibu na Mr. Blue pekee wanaomthamini..
Maneno ya khanga...kwani MWALIMU WA MAGUFULI NAE ALIWAHI KUWA RAIS?Huyu kidogo anaweza kujiita king
Huyu hapendi show off kama yule jamaa yenu wa Madale kila kitu lazima akaseme kwenye media.Ajitahidi basi kumpiga tafu "baba yake kwenye muziki" maana "baba yake" ana lalamika kuwa amewatoa wengi ila ni Chibu na Mr. Blue pekee wanaomthamini..
Hapendi show off hata kama Akifanya kimya kimya huyu sio msema kila kitu kama jamaa wenu wa Madale.Ajitahidi basi kumpiga tafu "baba yake kwenye muziki" maana "baba yake" ana lalamika kuwa amewatoa wengi ila ni Chibu na Mr. Blue pekee wanaomthamini..
Ajitahidi basi kumpiga tafu "baba yake kwenye muziki" maana "baba yake" ana lalamika kuwa amewatoa wengi ila ni Chibu na Mr. Blue pekee wanaomthamini..
Hapendi show off hata kama Akifanya kimya kimya huyu sio msema kila kitu kama jamaa wenu wa Madale.Ajitahidi basi kumpiga tafu "baba yake kwenye muziki" maana "baba yake" ana lalamika kuwa amewatoa wengi ila ni Chibu na Mr. Blue pekee wanaomthamini..
Huyu hapendi show off kama yule jamaa yenu wa Madale kila kitu lazima akaseme kwenye media.
Hapendi show off hata kama Akifanya kimya kimya huyu sio msema kila kitu kama jamaa wenu wa Madale.
Uwiiiiiiii mpendwa mzaramo give my bae break pls!Hapendi show off hata kama Akifanya kimya kimya huyu sio msema kila kitu kama jamaa wenu wa Madale.
Mkuu naona umeamua kunitolea uvivu [emoji23]Hapendi show off hata kama Akifanya kimya kimya huyu sio msema kila kitu kama jamaa wenu wa Madale.
Yani nimebaki nacheka tu hapa jinsi mzaramo alivyoniamulia..Uwiiiiiiii mpendwa mzaramo give my bae break pls!
Sio kwa kumuandama huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unanikumbusha enzi zetu mimi nae tulivyokuwa tunaumana.
Bifu lao ni la tija sio la uhasama wa kijinga. NI KAMA lile la sikinde na msondo, au Khadija Kopa na Nasma Hamisi (rip). Kutokana na 'bifu' lao wao wanapiga hatua kwenye musiki na kipato, hata majuu mambo hayo yapo, kilabaho......Vizuri huyu jamaa anaweza kuwa daraja la kuwapatanisha hao watu kama kweli haziivi