Na sio uzi huu pekee,ni nyuzi zote zinazohusu hizi timu zetu.Yani nimebaki nacheka tu hapa jinsi mzaramo alivyoniamulia..
Binafsi sitaki kuona hili bifu linaisha leo wala kesho.Bifu lao ni la tija sio la uhasama wa kijinga. NI KAMA lile la sikinde na msondo, au Khadija Kopa na Nasma Hamisi (rip). Kutokana na 'bifu' lao wao wanapiga hatua kwenye musiki na kipato, kilabaho......
Hahahaha eti "bifu lazima liendelee".. Ili upate chance ya kugombana na baeBinafsi sitaki kuona hili bifu linaisha leo wala kesho.
Ni lazima tutofautiane kuchochea maendeleo.
Tusipokosoana pande hizi mbili tutajisahau,hakuna namna.
Bifu ni lazima liendelee.
Hahahah kumbe umenotice hicho kitu daaaahh [emoji23] [emoji23]Na sio uzi huu pekee,ni nyuzi zote zinazohusu hizi timu zetu.
Basi hata akikuta replies za watu 10 wa upande wenu nawe ukiwemo atawaacha wote akuquote wewe.
Ndio maana leo nimejitoa kukuombea salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si unajua napenda ligi?Hahahaha eti "bifu lazima liendelee".. Ili upate chance ya kugombana na bae
Kwa niaba ya Ali ombi lako limekubaliwaUwiiiiiiii mpendwa mzaramo give my bae break pls!
Sio kwa kumuandama huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unanikumbusha enzi zetu mimi nae tulivyokuwa tunaumana.
Asante sana.Kwa niaba ya Ali ombi lako limekubaliwa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwa niaba ya Ali ombi lako limekubaliwa
Asante mama kwa kuniokoa [emoji23]Asante sana.
hahaha.. wafuasi wa watu wanavunga utadhani hawajaiona hii comment.. hata mi niliwahi kujiuliza ile collabo ya queen darlin na kiba, malipo ya qd kwa kiba yalikuw nini?Unamanisha kiba alikuwa anajimegea Queen[emoji3] [emoji3]