Ali Kiba Fans' Special Thread...

Umsahau wapi while anakujia ndotoni kama jinamizi!!unampenda sana kuja humu ni dhihirisho tosha!!Nw yupo kwake kapumzika,vipi unataka ukamwone!?

ukiniona huku ujue nimekuja kuwachamba tuuuu,watoto watoka pabaya, mxiuuuu zenu, waone macho yalivyotoka roho mbaya tu kaa wakaanga sumu, kumpa mwezenu sifa zake mwaona chupi zitawabanaeeee??? na mwaka huu lazima mtakunya matikiti maji.
 
Hhhee alishasema kazi kuu ya moyi ni kusukuma damu kupenda viherehere vyao acha walambwee sukari ya warembo ileeee mmmhuuuu kukesha twakesha wotee hhhhhhaaaaaa kiba wapiiiiii
Mi nakesha humu kwa King wangu wewe je?Sukari wapiii mavi yanguu!!atakufa kwa kansa kisa kula mitishamba ya kuvutia mabinti!!Mimi yule wallah hata wanaume wote wakifa duniani bora ninyweshwe acid kuliko kumbusu yule!!
 
ukiniona huku ujue nimekuja kuwachamba tuuuu,watoto watoka pabaya, mxiuuuu zenu, waone macho yalivyotoka roho mbaya tu kaa wakaanga sumu, kumpa mwezenu sifa zake mwaona chupi zitawabanaeeee??? na mwaka huu lazima mtakunya matikiti maji.

Heheeeeeeeeeheeeeeeeeeee
 
Hhhee alishasema kazi kuu ya moyo ni kusukuma damu kupenda viherehere vyao acha walambwee sukari ya warembo ileeee mmmhuuuu kukesha twakesha wotee hhhhhhaaaaaa kiba wapiiiiii

Yap yap huhuuuuu weraaaaaaaaaaaaa
 
Fanya yako. Hope ujumbe utafika mmmmmh watu wanajua kuwashwa cjapata kuona raha apate mwingne kiuno ukate ww inahuuuuu.

Na ni kuwashwa tu kunawasumbua ngoma si yao wanajitia kucheza mbele wala nyuma hakutingishiki kuwashwa kunawasumbua wakitulize huko kwao
 
ukiniona huku ujue nimekuja kuwachamba tuuuu,watoto watoka pabaya, mxiuuuu zenu, waone macho yalivyotoka roho mbaya tu kaa wakaanga sumu, kumpa mwezenu sifa zake mwaona chupi zitawabanaeeee??? na mwaka huu lazima mtakunya matikiti maji.

Kichambo sijakiona zaidi ya mzaha!Roho mbaya unayowewe aulowahi kumuwish mtu kifo!na utahara sana humu ila na maji ya kuchambia hupati hao nzi unao leo!
 
Na ni kuwashwa tu kunawasumbua ngoma si yao wanajitia kucheza mbele wala nyuma hakutingishiki kuwashwa kunawasumbua wakitulize huko kwao

Nashukuru Diva kwa maneno Kuntuuu!Wanahara na tiba hawaijui!mioyo inawapasuka na ndimi zinawatoka kutujazia nzi humu!!Kiba miaka mia!!sasa kama Kiba hafai why wanamtumia kama comparison ya dai!!
 
Nashukuru Diva kwa maneno Kuntuuu!Wanahara na tiba hawaijui!mioyo inawapasuka na ndimi zinawatoka kutujazia nzi humu!!Kiba miaka mia!!sasa kama Kiba hafai why wanamtumia kama comparison ya dai!!

Kweli kiba anawanyima raha kabisa wamemwacha domo Wao wamekuja huku wamewashwa kwweli mashabiki type yake empty set kabisa badala wabaki kwao ni vzuri wamekuja kumkubali Kiba kimoyoni Wakati hana time wanafanya mashindano mashibiki empty set with big head>>>>>>
 
Kwa kuwa nyie mmekunya nanasi miku***u inawawasha ndo mnadhani wote eeeeeh

Achana nao hao kunya maboga walishazoea mpaka dai anajua that's y alishawahi kuwaambia ay ndo mtu wa kwanza kufungua njia kimataifa kama hawataki wakanye maboga!!imagine star unawaambia ivo fans wako sasa fans watakuwaje is wehu kuliko wewe!!
 
Hatutaki shari tulizeni vipapatio vyenu haya msemaje kiba atabaki kuwa kiba tu. Maji hata yachemke kiasi gani lazma yatapoa tu xo km anawakera why kutwa mnamdiscuss?? Kila uzi mkifungua kiba hakosi midomoni kwenu na bado huo na mwanzo tu teiiiiiiiiina......
 
Achana nao hao kunya maboga walishazoea mpaka dai anajua that's y alishawahi kuwaambia ay ndo mtu wa kwanza kufungua njia kimataifa kama hawataki wakanye maboga!!imagine star unawaambia ivo fans wako sasa fans watakuwaje is wehu kuliko wewe!!

Cha msingi ni Ku avoid Ku argue with a fool huu ni Uzi wa Kiba mtu kaleta yasiyo mhusu kiba mnamwacha ka alivo haina haja ya kujibishana naye ni ujinga mwisho wa siku anajiona mbulula tu anasepa
 
Yani hawa mashabiki hamna kituuu ni zaidi ya mabox wamekuja kumzidishia popularity mfalme!!wengine wake za watu wamekazana kumpa kiki mfalme muda huu badala ya kuwapa waume zao haki zao kweli kiba ni nyokooo!!unawavuta watu kutoka pande zoteee wa rika mbalimbali na hulka mbali mbali mpaka wehu!
 
Where have u been mumie???? Miss u
 
Kiba baba konga nyoyo zaoooo wavuteee kutoka pande zote mpaka humu!!wewe wamekukubali baba,sasa amua unawapa zawadi gani sisi tunakuaminia tupo firm hatutikisiki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…