Ali Kiba Fans' Special Thread...

guys naskiliza nakshi mrembo nilale, ucngizi umenibanaa, gnt lovieee
 
Kibaaaaaa no matter what wewe mkaliii!!cheki vibibi vinavopagawa na wewe!!haaaaa

Tena ile mbaya wanalia nyuma ya keyboard umewashika vibaya heeeeh umebarikiwa kila kitu kiba ndo mana kila SAA wanakutaja wewe ni mkareeeeee
 

Tulikuja wapi??bibi naona viroba vinatafuna ubongo!!sijawahi kuja kwenye banda la bata mie nifate nini kwa mfano!!Na kiba ni moto wa kuotea mbaliiii!!Kiki maana yake Kiki!!hujui au!!Ebu kakitulize kule kwa misukule wenzio usinichoshe mieeee!!Kiba kakuchanganya mpaka unapoteza kumbukumbu na baaaaado!Kibaaaaaaaaaaa
 
Night guys love u sana,na Kiba siachi kumpenda ng'oooo hutaki kanye mafenesiiii!!Andikeni hata nyaraka ndeeefuuu ndo nshasema!!Kiba woyooooo!!Unawafanya watu wajidhalilishe humu kwa kujionyesha ni how much wanakukubali afu wanajifanya kukupondo u r the King!!
 
Kiba anawakoroga akili eee!!Kibaaaaa u r the best!!Thanks for ur support haters!!Its the King's birthday!!
 

maneno mabaya ni yale unayoambiwa wewe tu eee??? yale uyatoayo kwa wengine sound sweet for you eee??? be my guest miss.
 
jamani timu diamond kalaleni au rudini kwenu siku zile fiesta kulikuwa na wasanii wengi na zaid ya kumi lakini tulimzomea msanii wenu tu tena mbele ya davido na ti,tulizani baada ya pale diamond atashuka kimzk kumbe ndo anazidi kupanda.mtatukoma fiesta ijayo nyinyi leo tunawasamehe lakini mngetukuta na vichwa vyetu kama vya fiesta mngekoma
 

Na tutazidi kujishaua sana tyuuu...
Ukiona povu limekolea vilivyo ujue sabuni ya Kiba na inatutakatisha haswaaa!!

Yeah I second you, ndomo ni juhudi zake na ujanja ndo vinambeba he is less of a musician but an artist who performes the so he calls himself music.

As to Kiba, kipaji si ndo hiki sasa.
Sauti nzuri, mashairi yaloshiba na sio majina majina tu ya watu na mama zao. Good &entertaining melody! Na ndicho nilichokichagua kwa Kiba.

So mie ndomo hata afike wapi kwakweli excuse me......kwangu atabaki kuwa normal sana tena chini ya Kiba. Namkubali Kiba miaka mia yoteeeeeeeee! Ndomo mkimkubali nyie inatosha na mgawanyo wenyewe huo wa majukumu!
 
Ukiona hivyo ujue jini kitorondo limedunda na malaika Kiba kawaingia!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…