Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hapa nawaona wamama watu wazima wawili na domo, hawa wamama ni kina nani?

Hii nimecheka sana mkuu Matola, watu wana akili sana kwenye uzi huu ndio maana watu hawachoki kuja.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Ina maana diamond hawezi tena kupata msichana wa rika lake mpaka anaangaika na Mmama makamo ya mama yake?

Hahahaaa! Mmama wa watoto watatu, aliyemaliza ujana wake kwa matajiri kisha kaja kulia uzee wake kwa dogo.
Ova
 
Ina maana diamond hawezi tena kupata msichana wa rika lake mpaka anaangaika na Mmama makamo ya mama yake?

Aaah!Yani ni ivii,ilo jimama lina pesa chafu(illegal) lilipata toka kwa mmewe,huwa linawatumia vijana wadogo kama huyo dogo kumsuguuua kisha mwishowe anawabebesha unga na kuwapa kangoma(they say so)
 
Mdakuzi wewe!!una brains mpaka unakera!!wengi hatukuelewi kwa vile tumezoea mabishano,matusi na mipasho!!wewe unatoa hoja nzito afu zina ukweli tena bila kumvunjia mtu heshima!!sasa hawaelewi mabongolala kama master wao!!xul pia tatizo
 
Hahahaaa! Mmama wa watoto watatu, aliyemaliza ujana wake kwa matajiri kisha kaja kulia uzee wake kwa dogo.
Ova

Inasikitisha sana kwakweli kijana mdogo anapotea hivi hivi kwa kutaka kiki mafanikio kwake mojawapo ni papuchi hadi za vizee anakula makombo sasa atafte saizi yake sa ivi atahamia kwa bi Cheka
 
Wajua kuna hali fulani ya mvutano kwa Channel O na MTV Base, moja ikiegemea magharibi mwa Africa na nyingine ikiegemea kusini mwa Africa na wameamua kukomeshana kwenye tuzo zao.
Mivutano hii inaelekea kushusha hata heshima za Tuzo zenyewe kama ambavyo Tuzo za Kora zilivyopoteza mvuto baada ya kuonekana kupendelea wanamuziki wanaotokea nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa.
Kwa kiasi kikubwa MTV Base inatoa kipaumbele kwa muziki wa Nigeria, Ghana na nchi nyingine Magharibi na kuwapa Tuzo zaidi huku Channel O nayo ikifanya kwa upande mwingine.
Sasa kwa mvutano huu ndio kuna watu wengine huambulia upendeleo fulani kwenye Tuzo za upande mmoja hasa kwa wale waliokuwa wakiwania Tuzo kwenye kundi moja na wasanii wa Nigeria.
Ova
 
Somji,upo wapi vile ulifanikiwa kumfikishia mfalme taarifa ya huu uzi!?
 
Sasa unadhani wasipowaza chini wale watawaza wapi??master wao mwenyewe akilala anaota chini akiamka anatafuta chini kupya daily...

Na wamefuata kwa role model wao chini kwanza hata vikongwe twende kazi ni shiiiiideer tupu
 
Aaah!Yani ni ivii,ilo jimama lina pesa chafu(illegal) lilipata toka kwa mmewe,huwa linawatumia vijana wadogo kama huyo dogo kumsuguuua kisha mwishowe anawabebesha unga na kuwapa kangoma(they say so)

Huyu dogo ni wa kuhurumiwa ni lack of education.
 
Huyu dogo ni wa kuhurumiwa ni lack of education.

Ni kweli anahitaji ushauri shule ni muhimu sana kwenye life skills hata Ku wide level of understanding hafu kuna wanaomsifia akifanyacho bado mdogo na ana staili kufanya makubwa kuliko alipo sema hii tabia zitamfanya asifikie malengo
 
Kibaaaa Kibaaaa Kibaaaa(kimoyo moyo wanasema hivyo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…