Nassib anabembeleza usiku na mchana ili aendelee kuongea na Chameleon lakini jamaa kamkazia tu, hadi Nassib anadai kwamba kuna watu wanamgombanisha naye.
Ova
Ni kweli anahitaji ushauri shule ni muhimu sana kwenye life skills hata Ku wide level of understanding hafu kuna wanaomsifia akifanyacho bado mdogo na ana staili kufanya makubwa kuliko alipo sema hii tabia zitamfanya asifikie malengo
Mdakuzi wewe!!una brains mpaka unakera!!wengi hatukuelewi kwa vile tumezoea mabishano,matusi na mipasho!!wewe unatoa hoja nzito afu zina ukweli tena bila kumvunjia mtu heshima!!sasa hawaelewi mabongolala kama master wao!!xul pia tatizo
Uwiiiiiii my Avemaria....u kill me
Please,kill me softly....
Naona watu wanajishebedua saaaana as if ndo wametoka kuchukua mkopo saccos!
Nassib anabembeleza usiku na mchana ili aendelee kuongea na Chameleon lakini jamaa kamkazia tu, hadi Nassib anadai kwamba kuna watu wanamgombanisha naye.
Ova
Inasikitisha sana kwakweli kijana mdogo anapotea hivi hivi kwa kutaka kiki mafanikio kwake mojawapo ni papuchi hadi za vizee anakula makombo sasa atafte saizi yake sa ivi atahamia kwa bi Cheka
Ajabu kaenda kuchukua washauri wasio na elimu zaidi yake. Fella kwa ajili ya waganga na Tale kwa ajili ya kubania wanamuziki wakali wakati ambao Nassib anataka kutoa nyimbo Mpya.
Kwa hiyo ni kama kundi la jongoo ambao hawajui waendako, ndio maana hata wakipanda ndege kwenda hata hapo SA tu lazima wapost picha Instagram. Sasa walikofikia sasa ndio wameshagota. Upeo wao ndo umeishia hapo.
Ova
Miaka ya late 90's niliwahi kumkuta Fellah jijini Johannesburg nilikwenda kumtembelea mbongo mmoja kwenye appartment wanayoishi kulikuwa na wabongo wengine wanashare appartment ili kumudu gharama za rent pale pia nilimkuta Said Fella akiwa kama ndio chief cooker wa getto na nikweli anajuwa kukangalangiza madikodiko usipime.
Sasa baadaye maisha ya kule yalipomshinda nilishangaa kusikia hapa Bongo Fellah naye ni meneja wa Tmk. Kweli hii ndio Bongo.
Ajabu kaenda kuchukua washauri wasio na elimu zaidi yake. Fella kwa ajili ya waganga na Tale kwa ajili ya kubania wanamuziki wakali wakati ambao Nassib anataka kutoa nyimbo Mpya.
Kwa hiyo ni kama kundi la jongoo ambao hawajui waendako, ndio maana hata wakipanda ndege kwenda hata hapo SA tu lazima wapost picha Instagram. Sasa walikofikia sasa ndio wameshagota. Upeo wao ndo umeishia hapo.
Ova
Somji ni mwenzetu lakini anaringa sana jamani!Yaani hilo tu ndipo anaponikera
Avemaria nampendaaaje sasa!!ananikosha roho!!Jasiri hatariii afu yeye sio mtu wa waraka!!Hahahahaaa wewe mtoto unaishi wapi jamani?mbona una vituko hivyo???
Hahahaaaaa eti bibi Cheka!loh...
mwl at ur best, aminia sanaaaaaa
Hahahaa leo twende nao sambamba, hawawezi niamsha mapema halafu tuwaache tu.
Ova
Teh!isijekua jamaa kamind hili saga la Zari nasikia alishaosha rungu pia!!
Haha hahaaa ndio maana ana kitambi kama kiroba cha njegere nini?
Wajua kuna hali fulani ya mvutano kwa Channel O na MTV Base, moja ikiegemea magharibi mwa Africa na nyingine ikiegemea kusini mwa Africa na wameamua kukomeshana kwenye tuzo zao.
Mivutano hii inaelekea kushusha hata heshima za Tuzo zenyewe kama ambavyo Tuzo za Kora zilivyopoteza mvuto baada ya kuonekana kupendelea wanamuziki wanaotokea nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa.
Kwa kiasi kikubwa MTV Base inatoa kipaumbele kwa muziki wa Nigeria, Ghana na nchi nyingine Magharibi na kuwapa Tuzo zaidi huku Channel O nayo ikifanya kwa upande mwingine.
Sasa kwa mvutano huu ndio kuna watu wengine huambulia upendeleo fulani kwenye Tuzo za upande mmoja hasa kwa wale waliokuwa wakiwania Tuzo kwenye kundi moja na wasanii wa Nigeria.
Ova