Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mhuuuu Matola utasumbuliwa sana kwa Le tamkozz hilo maana wengi wetu(Hasa wapita njia) wanatamani iyo nafasii...

Hilo ni Le Tamkoz rasmi wote waliofikisha umri wa kuoa na kuolewa mwaka 2015 tuowane maisha mengine yatajiseti ndani kwa ndani siyo msubiri mpaka muwe na Escrow, siku hazigandi.
 
Hilo ni Le Tamkoz rasmi wote waliofikisha umri wa kuoa na kuolewa mwaka 2015 tuowane maisha mengine yatajiseti ndani kwa ndani siyo msubiri mpaka muwe na Escrow, siku hazigandi.
mweeeee!!! mie umri bado labda nifah
 
Last edited by a moderator:
Nitatumia fitina zangu zote hilo haliwezi kutokea tena kama Diva Beyonce yuko single au kwenye unstable relationship basi jibaba nitapropose myself officialy.

Ha ha ha babu chinga alie tu huko aliko kwa kweli hana ubavu kwa team kiba
 
Last edited by a moderator:
hivi Kiba anatambua kweli jinsi alivyo mkali?
 
guuuuuuuud morning dear lovely family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…