Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nampenda king wangu kiba simwachi
Mtasema mtachoka moyoni kwangu hatoki. Nmewamiss sanaaaaaaaaaaaa
 
Teh! Teh!
Ninong'oneze mie nikusaidie kutoa le tamkoz


huoni anavyojing'atang'ata! hawezi nifah katoa majicho utadhani babu chinga anaangalia video ya mwana unadhani ataongea, babu Mdakuzi shikamooo


Duh! Kizunguzungu tu, wala sina Le tamkoz wangu hahahaaaa.
Ova

Kizunguzungu cha nn sasa? ckiliza mwana userebuke kidogo utakaa sawa na nifah atakuwa hakudakulii majicho tena
 
Last edited by a moderator:
Nampenda king wangu kiba simwachi
Mtasema mtachoka moyoni kwangu hatoki. Nmewamiss sanaaaaaaaaaaaa

miss u more, ulikuwa wapi mama? yaani mapenzi kwa kiba ndio yanazidi kuongezeka
 
miss u more, ulikuwa wapi mama? yaani mapenzi kwa kiba ndio yanazidi kuongezeka

Yaan acha tu huku kwetu umeme unasumbua tangu juzi transfomer imeharibika nawamiss hatarii.

Naanzaje sasa kupunguza mapenz kwa kiba yaan sioni sisikii kwa mchiz wa gheto
Kiba4real
 
Kiba is my best when it comes to music, wengine wanafuata
 
Morning ladies and gentlemen!!Nimecheka sana kumbe Mdakuzi alitokea!haaa afu akajing'ata ng'ata kama mwenzie Atoto bila shaka wamezimikiana hawaa!!Diva naye anajifaragua shaurilo Matola ni hotcake wee zunguka zunguka mtaa wa jirani watajinolea nanga!!
 
Ladatho nilikukosaa!!Jana nilikua 'namlov' connect Atoto ila ameringa sasa ntajilove connect mie(nifah njoo nichape).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…