Hahahaaa chezea le big show wewe?
kama hanibanii aanze kwa kukuruhusu uniambie ileeeee kitu alikufanyia mpaka ukapagawa vile
kumbe we mwenyewe unamkubali alafu unambania!!
Kama kawaida yako. lol
Ova
Kwani kuna ubaya kumkubali mtu?
Sorry Mdakuzi umeoa?