Ali Kiba Fans' Special Thread...

Somji juma,so ndomo alitaka amwone Kiba pembeni alidhani bodyguard wake!?Au alimaanisha nini?

Achana naye huyo mbwiga wa tandale....uwiiiiii Kiba kanifurahisha balaaaa safi sana
 
Ndio maana Ndomo kaamuwa kudeal na vikongwe hawana usumbufu, nyinyi under 30 bado tamthilia nyingi.

Hahahaaaaa ila Diva alishaniambia babu chinga hampati hata kwa dawa
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh... Matola sikuwezi jamani!!!
Mitaa hiyo hata uniamshe saa nane usiku unibwage hapo ni kama nipo sebureni kwangu, nyuma ya milima hiyo ndio mwisho wa Africa Cape point The Cape of good hope ambapo bahari mbili zinakutana Atlantic ocean na Indian ocean.
Yaani ukiacha habari za Kiba hapa hakuna ninachokisubiria kama Le Tamkooooz la Diva u know....
Hahahaaa ila Matola itabidi umfuate mbebez Miami u know...so jipangez u know...
Le mbebes she is kissing the wind, akija kushtuka is too late.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa ila nimeshakuambia Le mbebez yuko Miami u know...
 
Shikamoo Matola!!Diva na Mdakuzi mtakuta sie tushaenda zetu paris...
 
Wengine hatupo IG tunaomba muwe mnatutupia mambo mazuri kama hayo nifah...
 
Naona,naonaaaa uwiiiii hiyo siku nitaangalia hiyo video yake huko YouTube mara 100 shiiida gani?
Bundle linanisumbua halina kazi GB's zipo za kumwaga.....


najionea huruma hiyo cku maanaaaaa!! ngoja nithitheme
 
najionea huruma hiyo cku maanaaaaa!! ngoja nithitheme

Kwa kweli tuombe uzima tu maana JF hiyo siku patachafuka,huku tunatakiwa tuangalie YouTube bado kupitia huko insta.....uwiiiii tuanze kupiga zoezi jama maana hiyo video inakuja kufunika hadi suala la Escrow...
 
Kwa kweli tuombe uzima tu maana JF hiyo siku patachafuka,huku tunatakiwa tuangalie YouTube bado kupitia huko insta.....uwiiiii tuanze kupiga zoezi jama maana hiyo video inakuja kufunika hadi suala la Escrow...


uwiiii cant wait, namuombea tu baraka zoteeee mambo yaende sawa
 
Hahahaaaaa kha!una vituko wewe!!!!
acha kbsa.kiba ni habari nyingine.yaani unackiliza nyimbo hata mkweo akiwepo huoni aibu.cyo mond kila kukicha mapenzi.cjui nani kamwambia wengine hawayajui.au vile ndo mambo yake?mana mtoto anapenda chini yule hatareeeeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…