Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #4,741
hahahahaa baby baby baby
Plan B nakuimbia nyimbo za King Kiba hope utanikubali tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuukumbe kuna plan b, hahaaaa nenda tu mwaya
Baaelezee bibie mwaka huu lazima wameze vidonge siunajua tena shuzi limempata mjampaji????ha ha ha haaaaaaJamani kwani Matola kumpenda atoto ni sawa na kusema matola anamchukia Ms.Lincoln??Au Mdakuzi kumpenda Ms.Lincoln ni sawa na kusema anamchukia nifah?Au Buku saba FC kumpenda Diva Beyonce ni sawa na kusema anamchukia Avemaria?(Confuse them!)
wewe unaimba kwa kusaidiwa na mumeo!Mtu anayeimba kwa kusaidiwa na makompyuta.
Morning Mkuu.....Morning Teamkiba
Plan B nakuimbia nyimbo za King Kiba hope utanikubali tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ha ha ha haaaaa!madogo yana nafuu....mbona wataka kutema big G?eeh!! makubwa tena
am okay!Nipe ma breaking news ya town about king......njema sana, how are youuuuu
ha ha ha haaaaa!madogo yana nafuu....mbona wataka kutema big G?
hebu anza kushuka mistari mayb nitakufikiria
ha ha ha ha ha haaaaaa!me nimezoa vya kunyonga vya kuchinja siwezi !?hebu anza kushuka mistari mayb nitakufikiria
ha ha ha haaaa!together we can,worry nt Mkuu.π±π±π±π±π± daaaaah
ha ha ha ha ha haaaaaa!me nimezoa vya kunyonga vya kuchinja siwezi !?
Ninachotaka team kiba wajue nimezimikaaa.....me sina papara nasubiri mola atanipa!mchezo gani huo wa kunikonyeza konyeza mchumba.....
Nakshi nakshi mrembo upo??