Insta kasema hivo lisaa moja iliyopita,fb page 13 min iliyopita
Ngoja nikae mkao wa kula sasa,ikibidi nimuibukie huko insta sasa hivi...
Ahsante kwa taarifa naona wenzangu wengi hawapo sijui wameshindwa kwenye s/mitaa?...lol
Hahaha nategemea video itakuwa ya ukweli,nitakatika sana akileta marangi rangi meusi kama video za nisher
Utakatika???
Huyo nisher hana lolote watu wanamjaza sifa za kijinga tu.Kuna msaidizi wake aligombana naye sasa hivi yuko kivyake jamaa yuko vizuri sana,ndiye aliyei direct ngoma ya quick rocka bishoo.
Video za nisher zinaboa sana,alivurugana na jamaa baada ya kuzidiwa uwezo ikabidi amtimue,but good thing jamaa bado anafanya vizuri kuliko nisher
Wakuu wale ambao wanamkubali kiba naona kapost insta kuwa wanaupload video ya mwana,naisubiri sana kwa hamu.
C.c nifah
Yeah,yuko vizuri sana na ni bado mdogo.Sijawahi kumpenda nisher kabisa,mimi ni fan wa the legend Adam Juma.
Ngoja nikae mkao wa kula sasa,ikibidi nimuibukie huko insta sasa hivi...
Ahsante kwa taarifa naona wenzangu wengi hawapo sijui wameshindwa kwenye s/mitaa?...lol
Umemuelewa vibaya
Nanukuu "wakat Tukiload mwana video nimekua nikipokea videos za watu mbalimbali wakidance Mwanadsm
Na ww Fanya yako then tag #mwanadance nitalike na kukoment na kuirepost
Hata hvyo chini ya kapet nackia mwana Ijumaa itakua out
Mkuu basi nimechemka basi
Adam fundi icheki Pacha wangu ,forever etc
Nimeiona Forever, ni kazi ya mbele. Adam Juma anajua sana. Huwa najiuliza sana hivi wakimpa Adam hizo 40 millions hatazifunika hizo video wanazokwenda kupiga kwa makaburu huko?
Ova
Mil 40 wap muongo uyu msanii mwenye tatzo la nyota
Adam ukimpa pesa hyo anafanya video USA akuna
Mkuu basi nimechemka basi