Hhhhhhhaaaa wana machungu Mhudumu lete maziwaaaaaaaa
duh!kwa ile ngoma (nitampata wapi) lazima waugue
Too much is harm full my Ave,tukisema tuwaache watazidi kutupanda vichwani
Karibu kwenye thread ya watoto wa mjini, unamshabikia domo wakati hata vijisenti vya kununuwa single yake mbovu unataka watu wengine wanunuwe wewe usikilize bure, ni sheedar.
ha ha maneno ya mfa maji haya....from king to mtoto wa mjini ha ha ha next time itakua thread ya watoto wa mtaa wa aggrey....kwisha kazi.
Ivi hawa jamaa bado wana bwabwaja hapa.
??
Machizi kweli, sasaivi wanaongea nini labda??
SHUT THEIR HELL UP.!!!
Watu wengine wa ajabu kweli,mmeambiwa mashabiki wa domo mkutane kule,lakini mkilala mkiamka mpo huku kulikoni kama kweli hamuumii na Kiba?
Watu wengine wa ajabu kweli,mmeambiwa mashabiki wa domo mkutane kule,lakini mkilala mkiamka mpo huku kulikoni kama kweli hamuumii na Kiba?
ndo maana tz ni miongoni mwa nchi zenye iq ndogo
ha ha maneno ya mfa maji haya....from king to mtoto wa mjini ha ha ha next time itakua thread ya watoto wa mtaa wa aggrey....kwisha kazi.
Sasa hata ikiwa ya kitoto unaumia nini kwa domo kumekushinda nini kiba kawashika vibaya mnajipa pressure juu yake yeye hana rudi kwenye Uzi wenu
Ume elewa lakini nilicho andika hapo? soma tena vyema nilicho mjibu matola,by the way jf ni huru hakuna wa kunizuia na kunichagulia uzi wa kusoma au kuchangia....ulininyima namba yako Diva Beyonce au mpaka leo still you "think about it?"
Nilielewa sana tu ndo mana nika Ku quote I know jf ni huru unafanya utakacho the choice is yours mhhhhhh namba yangu .....
......
Au ndio u Ali K na U Diamond ndio una nikosesha kupata mawasiliano?
Ha ha ha loh wala tu
Watu wengine wa ajabu kweli,mmeambiwa mashabiki wa domo mkutane kule,lakini mkilala mkiamka mpo huku kulikoni kama kweli hamuumii na Kiba?
Kuna watu wakipita wanaacha nyuma yao nzi,harufu ya uvundo na uharo...ovyooo!
Tulikuwa tunapita tu,tukaona mmepooza sana tukaona sio vibaya tukiwasalimu