Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mtu yupo best male wakati Hana nyimbo hata moja kwny tuzo bora hata Peter mchesu aliingia n nyimbo ya,nyota n best male last year

Nilijua lazma mtachongaa.
Na muumie tuu hmna namna.
Mbona sisi hatujaumia mlivyopata tuzo ya kukata mauno? Duu nilikuwa nampango wa kuvote for domo ila kwa hali hii ya wivu hapanaaaa
 
Nilijua lazma mtachongaa.
Na muumie tuu hmna namna.
Mbona sisi hatujaumia mlivyopata tuzo ya kukata mauno? Duu nilikuwa nampango wa kuvote for domo ila kwa hali hii ya wivu hapanaaaa

We si ndo povu lilikuwa limekutoka ukashindwa lala mond alipochukua tuzo MTV sie kiroho safi hongera kwa kiba, msanii chipukizi ommy dimpoz, khadija kopa, sheddy clever, lady jay Dee, n vee money, v mapesa kwa nomination diamond alisasema anajickia vibaya anaenda kwny tuzo anangalia pembeni amuoni ally wala dimpoz wanigeria tu kila cku
 
Nasema hivii...
Mbona team ndomo team wanenguaji mmeumia hivyo kiba kutajwa? Mara oooh hastahili mara sijui nini.
Au kwa sababu hajafanya collabo na watu wa naija na kenya na uganda? Maumivu yakizidi mwone doctor.
Hamna cha collabo na watu wa nje wala nini ila tunatoboa kimataifa hutaki hama nchi.
Best male....
 
Kiba yupo kwenye TUZO YA MAANA KAMA DAVIDO VILE best male EA.
Hapo hapo usisahau yeye ni BEST MALE IN TZ

Diamond yupo best male e.a n yupo kwny artist of the year n sarkodie, davido, wiz kid, fally pupa, my nigga Casper nyovest, yemi, buscie, flavour
 
Sema best male east hata peter msechu aliingia kabla ya kiba last year akatusaidia kubeba tuzo yetu tutamtuma kiba atuchukulie pia tuzo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Khaaaa! Inamaana umesahau Best Male in Tz ni King Kiba?

Yaan naanzaje kusahau.
Kiba bhana adi raha watu wana hara hara pyeeeeeeee...
Vipi mamy mimi sija vote ujue system inagoma
 
Sema best male east hata peter msechu aliingia kabla ya kiba last year akatusaidia kubeba tuzo yetu tutamtuma kiba atuchukulie pia tuzo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hahahaaaaaa haraaaaaaaaraaa
Mbona ni kiba na sio domo? Ina maana domo sio mwanamuziki bora wa kiume Africa mashariki??
 
Yaan naanzaje kusahau.
Kiba bhana adi raha watu wana hara hara pyeeeeeeee...
Vipi mamy mimi sija vote ujue system inagoma
Mie mbona nimeshavote? Tena asubuhi hii hii kwa kutumia opera min.
 
Vibaya mnooo, eti category moja! Sisi ndio tumesharidhika na tunashukuru kwa hicho kidogo tulichopata.
Inshaallah na sie tutapata vikubwa.

Sisi ni team kuridhika.
Wachuki hawaishiwagi vya kusema.
Akyananiii roho zinawauma kiba kuwa nominated.
Mashavu yamawashuka balaaaa ila hamna namna BEST MALE TANZANIA NA EA YOTE NI KIBA.
Vote vote vote
 
Hahahaaaaaa haraaaaaaaaraaa
Mbona ni kiba na sio domo? Ina maana domo sio mwanamuziki bora wa kiume Africa mashariki??

Inamaana ujaona jina LA diamond embu angalia vizuri tena namba 3 n nani
 
Attachments

  • 1437458292706.jpg
    13.7 KB · Views: 67
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…