#DieHardFans wa Alikiba turudi tuliendeleze gurudumu
Nipo hapa wa kwanza..
tusubirie vitu vizuri sasa
Kazi ipo" ngoja niweke akiba ya maneno
Maelezo yake hayo apo. . M kwa ushauri tu king atangulie kutoa mapema maana c unajua balaa ba Baba THahahaaa hiyo picha ya chini mbona ya kawaida sana?
Hizi mambo tumezizoea sana....
Maelezo yake hayo apo. . M kwa ushauri tu king atangulie kutoa mapema maana c unajua balaa ba Baba T
hana lolote huyo,ameshaanza kuweweseka.
Sifa ngoja usifiwe.......historia wameziacha akina marijani rajab bwana.
Hakunaga kama kiba duniani, nyimbo nimeisikiliza ni nzuri sana, sina wasiwasi na video
Hana lolote huyo,ameshaanza kuweweseka.
Sifa ngoja usifiwe.......historia wameziacha akina Marijani Rajab bwana.
Mbona kiba anajiita king?? usisubiri kusifiwa hata bella kila siku anajiita ye ni king of the best melodies na ni kweli..
Diamond kuanzia collable aliyowashirikisha p2, yule peter alishaiongelea kwamba ni kati ya collable kaaaaali ambazo zimewahi kutokea Afrika alivyoojiwa na shadeeweris clouds 360
Afu collable yake na Neyo tayari wakina K cee, na brakets aliwaonjesha kidoooogo hadi walipanick hadi vast bracket akaamua kumpost diamond kwenye insta yake na kuandika King of the best melodies..
Licha ya hayo mawili kuna watu wanaokuzunguka wa kuhakiki kazi zako ni kati ya watu wa kukupa marks ukilinganisha na kazi zilizopita, kwahiyo alichoongea ni ukweli mtupu ni kuzisubiri tu!!
Anyways hongereni, mzigo upo vizuri nagharamia ajitahidi video iwe kali ipate airtime maana clouds au efm na wala tv zetu za kibongo hazina mpango kiivo..
Uwiiiiiiii,hilo gazeti umemuandikia nani kwa mfano?
Pole maana povu limekutoka na mimi wala sina muda wa kujua umeandika nini!