Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
Majina ya nyimbo yamefanana lkn idea zake ziko tofauti.. mfano mwingine aweza tumia jina Anita akimaanisha kuteswa ktk mapenzi na huyo Anita na mwingine aweza tumia jina hilo katka kuonesha mapenzi ya kweli ya Anita.. umeelewa hapo nachomaanisha?? FUNGUA UBONGO NA MACHO HAYO USIJIFANYE HUONI KUWA IDEA NA HATA JINA LA WIMBO ZIMEENDANA... zilipendwa ya matonya na hii ya WCB imefanana kuanzia jina la wimbo wenyewe na hata Idea.. ukiwa jamii forum yafaa utulie kwanza katika kuleta hoja madhubuti.. sasa kaa usikilize wimbo wa make T Mnyalu ft Mad ice ile inayoitwa JE UTANIPENDA?? kisha kaa usikilize wimbo wa DIAMOND uitwao JE UTANIPENDAGA?? hizo hapo zimefanana idea zake hivyo basi DIAMOND yafaa atulie atunge wimbo kwa idea yake mwenyewe.. Sio kwamba KIBA hajawahi kucopy idea au wimbo amewahi na mfano halisi ni ule wimbo wake wa KIMASOMASO. Sina timu yoyote kati ya KIBA na MOND ila kwa kuangalia idea nzuri huyu KIBA anakuwa na idea nzuri na ambazo zinakaa muda mrefu sana.. mfano angalia nyimbo hizi hapaNumb = RIhanna
Numb = Usher
Numb = Linkin Park
Where are You = Jay Sean
Where are You = Bob
Hello = J Cole
Hello = Adele
Dive = Usher
Dive = Ed Sheeran
I Miss You = Beyonce
I Miss You = Adele
Lay me down = Sam smith
Lay me down = Adele
Runaway = Kanye west
Runaway = J cole
Show me = Usher
Show me = Bruno Mars
umejifunza nn hapo je ushawahi sikia msanii wa nje analalamika kuibiwa jina la wimbo na msanii mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhan anakwama wapi mpaka umfananishe na lavalavaDiamond platinumz atumuwez kwakwel.sisi level zetu ni za akina lavalava
Kwann mkuu?Huu uchochezi....
Binafsi hakuna nilipo kwama mkuu.vip unaweza nithibitishia nilipo kwama??Unadhan anakwama wapi mpaka umfananishe na lavalava
I mean Alikiba anakwama wapBinafsi hakuna nilipo kwama mkuu.vip unaweza nithibitishia nilipo kwama??
I mean Alikiba anakwama wap
YebabaaaYoo,,,pop it in.