Ali Kiba Firdausi huwezi kufika kiki, hizi kiki mwisho wake ni Shilawadu tu

Chato eapoti imejengwa kwa pesa safi?
Msihukumu mwacheni Mungu mwenyewe ahukumu.
Unaweza kukuta wewe unayehukumu hujazaliwa ndani ya ndoa.

Tukuite haramu?
Mungu ndiye mpangaji wa kila jambo
 
Sorry mi sio mtanzania mwenye akil za kitanzania..we kama akil zako zimekaa kitanzania tanzania ujue umeshakwama maisha,kama unaona ww unashinda mitandaon halaf hupat faida umekwama tayar,
 
Sorry mi sio mtanzania mwenye akil za kitanzania..we kama akil zako zimekaa kitanzania tanzania ujue umeshakwama maisha,kama unaona ww unashinda mitandaon halaf hupat faida umekwama tayar,
haya bana Muzungu...emancipate yourself from mental slavery....Hamna kitu kibaya kama usengenyaji hata Mungu hapendi kama unafact kuhusu mtu zitoe or else ni umbea tu na kumchafulia ustaadh wa watu aliyeamua kuikimbilia pepo
 
haya bana Muzungu...emancipate yourself from mental slavery....Hamna kitu kibaya kama usengenyaji hata Mungu hapendi kama unafact kuhusu mtu zitoe or else ni umbea tu na kumchafulia ustaadh wa watu aliyeamua kuikimbilia pepo
Wap nmesema mm muzungu? Ndo maana nakuambia jarib kua na akil ya ziada,na subira sio kila kitu kinakuja kwa wakat unaotaka? Unasema namchafua are you serious mkuu??nafanya ving na mzee yusuph kijana,alisema atasema mwenyewe muda ukifika so kwa nn mm nianze kumsemea? Atakaposemanyy kwanza kikichonyuma na kisababish hapo naweza kuweka nam lote nalojua,so kwa ss kua na subira.. Done
 
Unajua kilicho nyuma ya pazia kuhusu kuacha mziki mzee yusuph? Tulia ukiambiwa hutaamin miaka kumi ijayo.. Ila kumbuka tu kila siri itajulikana
Yeye mwenyewe mzee Yusufu alisema kaacha muziki ili amrudie Mungu,sasa kama wewe unajua zaidi kuliko muhusika mwenyewe hongera sana,

Mwingine aliyeacha muziki ili amrudie Mungu wake ni Suma lee,vipi na yeye tusubiri kuna siri imefichika? Teh! Teh!
 
Uwe unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kuzijibu,nimesema;

"Pesa inatakiwa iwe iliyopatikana kwa njia ya halali" soma kwa umakini tena utanielewazaidi.
 
Ni concept tu mnashindwa kufahamu pesa ipi halali na ipi haramu.

Nikueleweshe kidogo, ikiwa babako ni Muuza unga au ni mfanya biashara yoyote haramu, na ukawa unajua kabisa kama ndio dili zake, LAKINI baba huyo anawajibu wa kuishuhulikia familia yake, sasa akitoa pesa akakupa wewe, wewe mpokeaji hio pesa kwako ni Halali, kwa sababu hujatumia njia ya haramu wewe kuipata.

Wengi wanashindwa kuelewa uharamu wa pesa unaanzia wapi na wanafikiri pesa yote kwenye mzunguko ni haramu tupu au chafu. Ni jinsi wewe ulivoipata pesa ndio ina determine kama ni safi au chafu!
 
Amemaanisha dini ya ali kiba inauchukulia mziki kama kitu kibaya kabsa so ni haram hivyo pesa alizonunulia hizo sadaka pia n haramu kwa vile zimetokana na kazi yake ya haramu
 
Wewe ata kijiko sidhani kama ushawahi kutoa kwa yatima
wengine wakati tuna soma... na hatukuwa na boom lakini tulikuwa tuna saidia homeless people... yatima nk... kwa uwezo tulio kuwa nao japo haukuwa mkubwa saaaaana... lakini tulijitaidi...! na hasa baaada ya wanafunzi wenzangu kuona nimeweza nao wakaungana nami... waliisi kutoa ni mpaka uwe na mamilioni majumba na magaari mazuri nk...

lakini kumbe ni kama yule mama aliye toa sehemu ya kipato chake kama sadaka na kuonekana ametoa zaidi...
 
pesa inayo tokana na kipato kisicho halali... pesa hiyo haikubariki ktk madhabau, labda ya free mason... na waganga wa kienyeji...
 
Yeye mwenyewe mzee Yusufu alisema kaacha muziki ili amrudie Mungu,sasa kama wewe unajua zaidi kuliko muhusika mwenyewe hongera sana,

Mwingine aliyeacha muziki ili amrudie Mungu wake ni Suma lee,vipi na yeye tusubiri kuna siri imefichika? Teh! Teh!
ndo wale type ya watu utasikia jana nilikua na kikwete aisee tumekunywa naye sana bia..ilimradi aonekane yupo kwe system....sasa mtu kashakwambia usiseme unakuja hapa na pressumption zako si ndio umbea huo mwanaume kushindwa kukaa na kitu moyoni
 
Usiwe unaandika kwa mhemko?
Kama unajua Alikiba ni kioo cha jamii Basi hajakosea ktk hili.Lengo ni zuri tu,kuhamasisha wengine kupitia yeye aliye kioo cha jamii.
Ni nafasi nzuri kwawewe unayepata pesa kwa njia halali na mwingine wa aina yako kufanya kama alilofanya yeye unayemuona anapata kipato kwa njia isiyo halali.
 
Nlichokigundua ni kuwa Huyu jamaa huwa anajificha tu! Ila huwa anapenda sana sifa zisizo na msingi......NB:mkono wa kulia ukitoa, wakushoto usione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…