Nimeamini Kiba anafanya mambo makubwa sema ni vile hataki shobo tu.
Alikiba ameanza mazungumzo na mamlaka husika mkoani Shinyanga kuhusu kupata kibali cha kununua uwanja wa ndege uliokuwa ukitumika na mgodi wa dhahabu uliofungwa.
Baada ya kukamilika kwa manunuzi hayo Alikiba atajenga studio kubwa ya muziki pembeni ya uwanja huo ambapo atakuwa anawaalika marafiki zake kutoka duniani( R Kelly, Yvone Chakachaka nk ) kuja kurekodi kwenye studio hiyo.
Pamoja na mambo mengine kutakuwa na majumba ya kisasa, heated swimming pools, kundi la madada warembo, na bustani ya wanyama.
Paaaapilini