Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Album yako umeshirikisha wasanii wa bongo wangapi mkuu?
Ni watu gani hao...Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau... haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya na wathauzi.... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!
All in all albamu imenikamata.
Tulia dogo wa maghorofani acha kuwapa watu spana asubuhi hii.Ni watu gani hao...
View attachment 1966387
Kanywe alkasusu kijana kushakuchaTulia dogo wa maghorofani acha kuwapa watu spana asubuhi hii.
Kuna wimbo wa Mtemi Don Nalimi kisandu alishirikishwa mkuu.Kwani mleta mada nae anaimba mkuu...?
Kwake hao ni Raia kutoka Brazil.mbona akina tommy flavour wapo...ki2ga au sio wabongo
Angeimba na wabongo tu bado wangesema [emoji1]Unampangia!??????
[emoji1][emoji1][emoji1]Kwake hao ni Raia kutoka Brazil.
Vijana wa siku hizi wamekuwa malofa sana
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau...
Haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya, wa Ghana na wa South ... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!
All in all albamu imenikamata.
Album ya kimataifa ndo mana hakuna wa tanzaniaHii binafsi nimeitafsiri kama dharau...
Haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya, wa Ghana na wa South ... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!
All in all albamu imenikamata.
🤣Album yako umeshirikisha wasanii wa bongo wangapi mkuu?