Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
anaweza akajiona mwanamziki lakini kumbe chombo chochote cha mziki hawezi kupiga wala kusoma notation za muziki hawezi mi naona wote ni wasanii tuHapa Ali Kiba akimanisha yeye ni Mwanamziki.
Angefafanua zaidi....!
Wewe ni mwongo basi huijui akaunt yake ifuatilie hiyo akaunt utaona.Maskini Alikiba sijui aliwakosea nini binadamu wenzie maana siku hizi imekuwa rahisi sana kwa mtu yoyote kuanzisha uzi na kumwongelea yeye ilhali hana uhakika wowote na akiongeacho, usemi wa kusema ukiwa unasemwa unajing'ata utakuwa sio kweli maana huyu jamaa saizi angekuwa na kipisi cha ulimi
Anyway, mtoa mada hiyo sio account official ya Alikiba bali atakuwa shabiki wake tu, kwenye account zake waga anaandika jina bila kuacha space so inakuwa Alikiba na sio Ali kiba
Uzuli siku hizi hatubishani kizamani mkuu, angalia hiyo screenshot uone account yake ya fb ameandikaje jina lake then ulinganishe na hiyo yakoWewe ni mwongo basi huijui akaunt yake ifuatilie hiyo akaunt utaona.
Save your breath, man!Uzuli siku hizi hatubishani kizamani mkuu, angalia hiyo screenshot uone account yake ya fb ameandikaje jina lake then ulinganishe na hiyo yako
View attachment 407695