Ali Kiba Interview: Azungumzia wimbo wake mpya, kuchelewa kutoa nyimbo na bifu yake na WCB

Upo sahihi mkuu. Ukiacha umaarufu na mambo mengine, hakuna msanii anayemzidi mashairi Rama dee. Sikikiza nyimbo zake utanielewa
 
Zimefika
 

Fanikiwa utajua maadui zako. Eti salama, dulla wanamchukia diamond. Fanikiwa utawajua maadui zako
 
Alafu watu hajui nkisema Paris mzuri simanishi London mbaya. Washabiki wengi wa Mondi wanathani kumpenda Ally tunamchukia Mondi lashaha.
Anaweza jua napenda ndizi lakini sio kwamba nachukia ubwabwa!!! Mpo team mondi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
exactly hii ndo shida yetu na wivu tu kwa mond. nimegundua wenye chuki na mond ndo wanatumia kichaka cha Ali kiba kumkomoa huyu kijana.

bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…