falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,189 Reaction score 9,299 Aug 29, 2017 #121 geniveros said: Halafu watu hawamfatiliii anajitahd kutafuta kwa kick [emoji1] [emoji1] zimegoma nimeamini kua mange ndio anampaishaga ujue Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hehehehe nakojoaaaaaa
geniveros said: Halafu watu hawamfatiliii anajitahd kutafuta kwa kick [emoji1] [emoji1] zimegoma nimeamini kua mange ndio anampaishaga ujue Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hehehehe nakojoaaaaaa
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Aug 29, 2017 #122 Adharusi said: Eti nyimbo ili tengenezwa miaka miwili iliopita, wakati umo ndani kaimba dispatiso, ngoma iliotoka Mwaka huu kutoka Puerto Rico Click to expand... Uhaba wa mb hujasilikiliza hadi mwisho mmefumuliwa matope mnabwata tu mxiiieeeeeew Sent using Jamii Forums mobile app
Adharusi said: Eti nyimbo ili tengenezwa miaka miwili iliopita, wakati umo ndani kaimba dispatiso, ngoma iliotoka Mwaka huu kutoka Puerto Rico Click to expand... Uhaba wa mb hujasilikiliza hadi mwisho mmefumuliwa matope mnabwata tu mxiiieeeeeew Sent using Jamii Forums mobile app
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Aug 29, 2017 #123 Daud1990 said: Wewe kilaza acha akili zako za kuvukia barabara ... Hivi nyie mkoje ??? Despasto ni Portuguese Language vocabulary wewe taahira Sent From My Nokia Ya Tochi Click to expand... Hawaelewi hao kwenye mahojiano na eatv kasema wimbo ulitengenezwa miaka miwili ilopita lkn alivyotaka kutoa ndo akaona aongeze vionjo vya salsa na kutamka hiyo despacito, hao wametinduliwa mitaro na huku wimbo achana nao ila wataelewa tu Sent using Jamii Forums mobile app
Daud1990 said: Wewe kilaza acha akili zako za kuvukia barabara ... Hivi nyie mkoje ??? Despasto ni Portuguese Language vocabulary wewe taahira Sent From My Nokia Ya Tochi Click to expand... Hawaelewi hao kwenye mahojiano na eatv kasema wimbo ulitengenezwa miaka miwili ilopita lkn alivyotaka kutoa ndo akaona aongeze vionjo vya salsa na kutamka hiyo despacito, hao wametinduliwa mitaro na huku wimbo achana nao ila wataelewa tu Sent using Jamii Forums mobile app